UTAFITI: Wasichana wanaopenda kuvaa nguo ndefu/suruali wana miguu myembamba!

UTAFITI: Wasichana wanaopenda kuvaa nguo ndefu/suruali wana miguu myembamba!

Eti utafiti. Unajua maana ya utafiti? Nikikuuliza umetumia njia gani kwenye
> Kukusanya taarifa / data
> Kuchambua taarifa / data

Utaweza zitaja?

Kama wewe unajua sana namna ya kutafiti, ukisoma matokeo ya utafiti wa huyo jamaa utajua namna alivyoufanya. Kwanza amejaribu ku-define population na sample yake, na jinsi alivyopata sample yake ni kwa njia ya convenience (non probability sampling strategy), halafu methodology yake ni quantitative kwa jinsi alivyotumia percentages ku-report findings zake. Halafu inquiry/ gap yake ipo kwenye kuangalia kama kuna uhusiano kati ya body image na mavazi marefu hasa kutoka kiunoni kwenda chini. Halafu kwa sababu hajatoa context kwa sababu anafanya 'exploration' tu. Halafu yawezekana baadae akachagua hao wachache na kuwa-interview kwa makundi au mmoja mmoja (qualitative methodology) ili kuongeza understanding.

Na findings za huyu jamaa zinaweza kutumiwa na designers wa mavazi ili kukidhi mahitaji ya hao wateja wenye miguu hiyo na kuuza sana. Ingawaje non random selection haina generalization.

Kwa kifupi wewe ndio hujui 'utafiti' ni nini? Labda ungesema hajaufanya vizuri au njia sio sahihi sana kuliko kusema alichofanya huyu jamaa sio utafiti!!
 
Tatizo la Kiswahili halina maneno mengi... Hii kwa kiingereza tungeweza kuiita Survey... Njia kubwa niliyotumia ni observation at random sampling...

Mimi naona haukutumia random selection bali non random selection ambayo si ruksa ku-generalize. Halafu hiyo sio survey bali ni observation method kwa sababu haukuongea na hao subjects kwa namna yeyote ile. Kama ni survey instrument gani ulitumia kukusanya data? Na je uliwapatia hiyo instrument? Au uliongea nao na wewe kujaza walichokuambia kwenye hiyo instrument?
 
Utafiti ????hivi vitabia vya kuchungulia dada zenu vyumban mwao halaf unajikuta na ww n mtafiti hahhhhah ww n mpiga chabo mtu na gaun lake refu hyo miguu umeionea wap.....???nahis umepigwa kibut na manz yako

Lakini kuchungulia na yenyewe ni utafiti ingawaje ni unethical kwa sababu mchunguliwaji hajatoa consent!!
 
huwa utafiti bila shaka umeufanya mkoa wa kilimanjaro hebu jaribu kutembea na mikoa mingine utafiti ukamilike
 
Mtaalamu wa mitishamba asili ...anatibu mapungufu ya nguvu za kiume ..0744069527.....pia anatibu magonjwa ya wakina dada ..maumivu chini ya kitovu ..kukosa hamu ya tendo .bleed isiyo na mpangilio...kushindwa kushika mimba...nitafute kupitia 0744069527..dr kanyas mtaalamu wa tiba asili

dokta mi naumwa kiuno dawa ipo?
 
Kwa kipindi kirefu nimejaribu kuwafuatilia wasichana wanaopenda kuvaa magauni au sekti ndefu katika karne hii ya ishirini na moja ili nijue kwamba wanavaa hivyo kutunza maadili ya Mwafrika au wana sababu zao nyingine...

Kwa utafiti wangu nimebaini kuwa zaidi ya asilimia sabini na tano ya wadada wanaovaa nguo ndefu na pia wanaovaa suruali wana usafiri mwembamba...

Orodha hii haijahusisha utafiti wa wale wanaovaa mavazi kulingana na imani zao... Imehushisha tu wale wanaovaa mavazi ya kawaida ambayo hayana muingiliano na imani yeyote...

Utafiti huu pia ukaendelea kubaini kuwa wadada wenye guu za bia hupenda sana kuvaa visketi au magauni mafupi na kuanika miguu yao hadharani...

Itakuwa wewe ulimchunguza dada yako.

SABABU nguo ndefu ni heshima humsitiri mwanamke
Suruali pia isiyobana humsitiri mwanamke.. hivyo ni tamaduni ya mtu si kuwa miguu wala nini. Wapo wenye miguu membaba na wanavaa vimini hawajali.

Anayeonea haya umbile alilojaaliwa na Muumba basi huyo anakufuru kwasababu kila kiumbe aliyeumbwa ameumbwa hivyo kwa sababu, kwani kila kiumbe umbile lake linamfaa kiumbe mwingine. Viumbe wote wangeumbwa na umbile moja basi kusingekuwa na usawa duniani.
 
Kama wewe unajua sana namna ya kutafiti, ukisoma matokeo ya utafiti wa huyo jamaa utajua namna alivyoufanya. Kwanza amejaribu ku-define population na sample yake, na jinsi alivyopata sample yake ni kwa njia ya convenience (non probability sampling strategy), halafu methodology yake ni quantitative kwa jinsi alivyotumia percentages ku-report findings zake. Halafu inquiry/ gap yake ipo kwenye kuangalia kama kuna uhusiano kati ya body image na mavazi marefu hasa kutoka kiunoni kwenda chini. Halafu kwa sababu hajatoa context kwa sababu anafanya 'exploration' tu. Halafu yawezekana baadae akachagua hao wachache na kuwa-interview kwa makundi au mmoja mmoja (qualitative methodology) ili kuongeza understanding.

Na findings za huyu jamaa zinaweza kutumiwa na designers wa mavazi ili kukidhi mahitaji ya hao wateja wenye miguu hiyo na kuuza sana. Ingawaje non random selection haina generalization.

Kwa kifupi wewe ndio hujui 'utafiti' ni nini? Labda ungesema hajaufanya vizuri au njia sio sahihi sana kuliko kusema alichofanya huyu jamaa sio utafiti!!

Duh Kwa Maelezo yako mazuri.Umempigia debe mtoa mada kupata ajira Kwa wanamitindo.Halafu wako Watu humu JF kazi zao Ni kuponda WaTanzania eti
hatuna akili.
Mwanamayu hongera sana Mkuu.
 
Subiri wenye mironjo watakavyo bwekabweka hapa...![emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Me naona kama imekaa vice versa, wengi wenye miguu membamba ndo mahodari wa kuvaa nguo fupi
 
Ni hulka ya mtu anavyopenda,kuna watu wana fito na wanajiamini wanavaa nguo fupi tu,ni kila mtu anavyopenda we ukivaa kwa kuogopa watu kazi kwako
 
Mtaalamu wa mitishamba asili ...anatibu mapungufu ya nguvu za kiume ..0744069527.....pia anatibu magonjwa ya wakina dada ..maumivu chini ya kitovu ..kukosa hamu ya tendo .bleed isiyo na mpangilio...kushindwa kushika mimba...nitafute kupitia 0744069527..dr kanyas mtaalamu wa tiba asili
Wewe jamaa unanichekeshaga sana na tangazo lako yaani kwenye mada za siasa silioni hili tangazo ila kaongelewa mwanamke basi tangazo linatokea ,umejua huku ndio kuna wakware wengi nini ,unafanya tu kama mamba anavyo wanasa Thomson Gazelle
 
Back
Top Bottom