Utafiti: Watu milioni 17.5 ni maskini nchini Ujerumani(DW)

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
Utafiti uliochapishwa Jumamosi, umeonyesha kuwa watu wengi zaidi nchini Ujerumani, wanaokadiriwa kufikia milioni 17.5 wanaishi katika umaskini kuliko ilivyodhaniwa hapo awali.

Hali hiyo imetokana na viwango vya juu vya kodi na gharama zinazohusiana na kodi za nyumba.

Kulingana na data za Ofisi ya Takwimu, kaya nyingi hutumia zaidi ya theluthi moja ya mapato yao kulipia gharama ya makazi, huku baadhi zikitumia zaidi ya nusu ya pato lao.

Hayo yakiarifiwa, mauzo ya nje ya Ujerumani yamepungua kwa asilimia 2.8 mnamo mwezi Oktoba ikilinganishwa na mwezi uliopita, huku uchumi wake ukitarajia kushuhudia ukuaji mdogo mwaka ujao baada ya kushuka kwa asilimia 0.2 mwaka huu.

1734168689910.jpeg
 
View attachment 3176410
Masikini wa kijerimani ndo mtumishi wakati wa Tanzania anae tumia mshahara wake wote kupata huduma mihimu.
 
Utafiti uliochapishwa Jumamosi, umeonyesha kuwa watu wengi zaidi nchini Ujerumani, wanaokadiriwa kufikia milioni 17.5 wanaishi katika umaskini kuliko ilivyodhaniwa hapo awali.

Hali hiyo imetokana na viwango vya juu vya kodi na gharama zinazohusiana na kodi za nyumba.

Kulingana na data za Ofisi ya Takwimu, kaya nyingi hutumia zaidi ya theluthi moja ya mapato yao kulipia gharama ya makazi, huku baadhi zikitumia zaidi ya nusu ya pato lao.

Hayo yakiarifiwa, mauzo ya nje ya Ujerumani yamepungua kwa asilimia 2.8 mnamo mwezi Oktoba ikilinganishwa na mwezi uliopita, huku uchumi wake ukitarajia kushuhudia ukuaji mdogo mwaka ujao baada ya kushuka kwa asilimia 0.2 mwaka huu.

View attachment 3176410
Jibu maswali haya. Maskini wa Ujerumani ana shida ya madaraja kuvunjika wakati wa mvua, ana shida ya maji, barabara, vyoo vya shule na madawati ? Wana bima ya Taifa ? Kiwango cha kusoma na kuandika ni asilimia ngapi kwao na kwingine. Wanaliwa na mamba kwa kuchota maji mitoni na ziwani ? Wana mgao wa umeme mfululizo ? GDP yao ni kiasi gani kulinganisha na Bongo ? Kwa nini usingetoa mfano tu hata wa Burundi,, lakini Ujerumani duuuh sawa mkuu.
 
Utafiti uliochapishwa Jumamosi, umeonyesha kuwa watu wengi zaidi nchini Ujerumani, wanaokadiriwa kufikia milioni 17.5 wanaishi katika umaskini kuliko ilivyodhaniwa hapo awali.

Hali hiyo imetokana na viwango vya juu vya kodi na gharama zinazohusiana na kodi za nyumba.

Kulingana na data za Ofisi ya Takwimu, kaya nyingi hutumia zaidi ya theluthi moja ya mapato yao kulipia gharama ya makazi, huku baadhi zikitumia zaidi ya nusu ya pato lao.

Hayo yakiarifiwa, mauzo ya nje ya Ujerumani yamepungua kwa asilimia 2.8 mnamo mwezi Oktoba ikilinganishwa na mwezi uliopita, huku uchumi wake ukitarajia kushuhudia ukuaji mdogo mwaka ujao baada ya kushuka kwa asilimia 0.2 mwaka huu.

View attachment 3176410
Watu milioni 17.5 kuwa maskini kati ya wajerumani milioni 85 ina maana wajerumani waliobakia milioni 67.5 wanauwezo/kipato kikubwa. Hizo ni jitihada na maendeleo makubwa sana. Sisi tuko milioni 61. Njoo na takwimu za kwetu pia tuone.
 
Serikali ya Tanzania yenyewe ni masikini. Hapo bado haujafika kwa wananchi wenyewe

si masikini kwani wabunge wanalipwa mamilioni plus maraisi mpaka Naibu spika wanalipwa mpaka wake zao wakistaafu , hata Assad wa syria hakufanya hayo
 
Maskin kalala pazuri panaumeme na blankt juu asubuh anaamka namishezake njoo tanzannia sasa umkute mskin anae lalanjee pale daraja la masai mwanza uione tofaut mkuu hao ukukwetu niwatu wenyeuchumi wakati kabisaa hatamie hapo nalala nachaj naktekno changu naperz jamii forum
 
si masikini kwani wabunge wanalipwa mamilioni plus maraisi mpaka Naibu spika wanalipwa mpaka wake zao wakistaafu , hata Assad wa syria hakufanya hayo
Raisi wa Marekani anashitakiwa na hata kufungwa ila hapa Tanzania rais hashitakiwi.😬 Nyerere inabidi alaumiwe kwa hili
 
Nikikumbuka Muungano, na ujinga wa chura kiziwi, ninatamani kwenda Butiama kulipiga kaburi lake mawe
 
Back
Top Bottom