Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha urongo!Maskini wa kule angalau anapewa subsistence allowance na seriakli kwa mwezi!
Huku kwetu maskini hata mlo mmoja kuupata ni shida!
Mkuu maskini wa kule huku ni tajiriJibu maswali haya. Maskini wa Ujerumani ana shida ya madaraja kuvunjika wakati wa mvua, ana shida ya maji, barabara, vyoo vya shule na madawati ? Wana bima ya Taifa ? Kiwango cha kusoma na kuandika ni asilimia ngapi kwao na kwingine. Wanaliwa na mamba kwa kuchota maji mitoni na ziwani ? Wana mgao wa umeme mfululizo ? GDP yao ni kiasi gani kulinganisha na Bongo ? Kwa nini usingetoa mfano tu hata wa Burundi,, lakini Ujerumani duuuh sawa mkuu.