Jibu maswali haya. Maskini wa Ujerumani ana shida ya madaraja kuvunjika wakati wa mvua, ana shida ya maji, barabara, vyoo vya shule na madawati ? Wana bima ya Taifa ? Kiwango cha kusoma na kuandika ni asilimia ngapi kwao na kwingine. Wanaliwa na mamba kwa kuchota maji mitoni na ziwani ? Wana mgao wa umeme mfululizo ? GDP yao ni kiasi gani kulinganisha na Bongo ? Kwa nini usingetoa mfano tu hata wa Burundi,, lakini Ujerumani duuuh sawa mkuu.