Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlandizi sawa mkuu ila bagamoyo usiende tena usijaribu kabbbbbbbisa watakuuzia ardhi ya zanzibarKuna hivi vinavyotangazwa kila kukicha kwenye maredio vinapatikana mlandizi, bagamoyo, sijui kigamboni na inasemwa ni bei ya chini sana, je uhalali wake upo vipi???
Mwenye taarifa au uzoefu na hili atujuze.
Au aliyekuuzia huyo huyo anakuzunguka tena..Ni kuwa makini tu,mie niliuziwa kiwanja lakini baada ya muda aliyeniuzia akaanza kuumia ati ni kikubwa kuliko pesa,nikamwambia mega bas na akamega kweli hatua Moja.Bas ikawa amani
Kabisa,Yaan sahivi Binadamu wamekosa utu kabisaAu aliyekuuzia huyo huyo anakuzunguka tena..
Anatafuta watu wanajifanya ni Chao ili mradi wakusumbue tu kumbe wanachotaka ni hela.
Ilikuwa lini hiyo mkuu halafu hapo Benaco viwanja bei ganiSalasala BENACO kulivunja rekodi ya utapeli wa viwanja watu waliuziwa viwanja hata watatu kiwanja kimoja na deal lilikuwa linachezwa na wenye mamlaka. Kumewaliza sana watu
Nilikumis wewe Dada mpambanaji wenzangu hatimaye leo nimeona comment yakoMi nilipigiwa humu humu JF[emoji119]
Ila wee dada Mungu akusaidie
Kuanzia tegeta mpaka Mkata panaogopesha sana kununua ardhi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlandizi sawa mkuu ila bagamoyo usiende tena usijaribu kabbbbbbbisa watakuuzia ardhi ya zanzibar
Nilikumis wewe Dada mpambanaji wenzangu hatimaye leo nimeona comment yako
Wanajivunia Uchawi.Me Pana mpumbavu aliniuzia kiwanja ubavu wa nyumba yake baada ya kuondoka kurudi nakuta kamuuzia mtu mwingine na keshajenga kabisa na frem,yaani namuangalia huyu Mzee simmalizi sijui nimpe adhabu gani.
Hata pesa za kurejesha Huwa hawana Mimi nataka niuze nyumbani yake.
Hawa wazee wa kiswahili sijui wanaivunia Nini
[emoji3]Me Pana mpumbavu aliniuzia kiwanja ubavu wa nyumba yake baada ya kuondoka kurudi nakuta kamuuzia mtu mwingine na keshajenga kabisa na frem,yaani namuangalia huyu Mzee simmalizi sijui nimpe adhabu gani.
Hata pesa za kurejesha Huwa hawana Mimi nataka niuze nyumbani yake.
Hawa wazee wa kiswahili sijui wanaivunia Nini
Tena wenyeviti wa mtaa ndio michezo Yao hio kuuza viwanja mara mbili mbiliWanajivunia Uchawi.
Hao ndo wakuwaamini mana wanahati miliki ya ardhi wanakua wamepewa kuuza na unapewa na hati kabsa mfn; viwanja vya dalali mwanamke kigamboni we nunua tu ni uhakika hakuna ubabaishajiKuna hivi vinavyotangazwa kila kukicha kwenye maredio vinapatikana mlandizi, bagamoyo, sijui kigamboni na inasemwa ni bei ya chini sana, je uhalali wake upo vipi???
Mwenye taarifa au uzoefu na hili atujuze.