Utafutaji wa kiwanja umenifanya nielewe mwanadamu ni hatari sana

Utafutaji wa kiwanja umenifanya nielewe mwanadamu ni hatari sana

Ni kuwa makini tu,mie niliuziwa kiwanja lakini baada ya muda aliyeniuzia akaanza kuumia ati ni kikubwa kuliko pesa,nikamwambia mega bas na akamega kweli hatua Moja.Bas ikawa amani
Au aliyekuuzia huyo huyo anakuzunguka tena..

Anatafuta watu wanajifanya ni Chao ili mradi wakusumbue tu kumbe wanachotaka ni hela.
 
Me Pana mpumbavu aliniuzia kiwanja ubavu wa nyumba yake baada ya kuondoka kurudi nakuta kamuuzia mtu mwingine na keshajenga kabisa na frem,yaani namuangalia huyu Mzee simmalizi sijui nimpe adhabu gani.
Hata pesa za kurejesha Huwa hawana Mimi nataka niuze nyumbani yake.
Hawa wazee wa kiswahili sijui wanaivunia Nini
Wanajivunia Uchawi.
 
[emoji3]

Pole sana mkuu
 
Kuna Umuhimu sana wa kuwa na Hati miliki kutoka wizarani kwa kiwanja unacho miliki
Watu wengi wamezoea kununua viwanja kizamani ,ile ya kwenda kwa m/kiti au mjumbe kusainishana haitoshi inabidi watu wajiongeze
.kwa Kila kiwanja unachotaka kununua uhakikishe

Kimepimwa

Kuna ramani ya mipango mji eneo husika

Ikitokea unauziwa na mtu binafsi ni muhimu sana hicho kiwanja kiwe na Hati miliki kutoka wizarani ,kama hakina hiyo aliyekuuzia akupe ushirkiano kufanya mchakato wa Hati miliki ya wizarani

Note:
Ni muhimu sana
 
Kuna hivi vinavyotangazwa kila kukicha kwenye maredio vinapatikana mlandizi, bagamoyo, sijui kigamboni na inasemwa ni bei ya chini sana, je uhalali wake upo vipi???

Mwenye taarifa au uzoefu na hili atujuze.
Hao ndo wakuwaamini mana wanahati miliki ya ardhi wanakua wamepewa kuuza na unapewa na hati kabsa mfn; viwanja vya dalali mwanamke kigamboni we nunua tu ni uhakika hakuna ubabaishaji
 
Back
Top Bottom