vn_warehouse
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 648
- 854
Very true watu kamaHao ndo wakuwaamini mana wanahati miliki ya ardhi wanakua wamepewa kuuza na unapewa na hati kabsa mfn; viwanja vya dalali mwanamke kigamboni we nunua tu ni uhakika hakuna ubabaishaji
Yani ukampa hatua moja [emoji3]Ni kuwa makini tu,mie niliuziwa kiwanja lakini baada ya muda aliyeniuzia akaanza kuumia ati ni kikubwa kuliko pesa,nikamwambia mega bas na akamega kweli hatua Moja.Bas ikawa amani
🤣🤣🤣Ndo ivo mkuu,Yani ukampa hatua moja [emoji3]
Ulitakiwa ulete vijana wavunje hizo frem ili kesi iende mahakamani ukamshindeMe Pana mpumbavu aliniuzia kiwanja ubavu wa nyumba yake baada ya kuondoka kurudi nakuta kamuuzia mtu mwingine na keshajenga kabisa na frem,yaani namuangalia huyu Mzee simmalizi sijui nimpe adhabu gani.
Hata pesa za kurejesha Huwa hawana Mimi nataka niuze nyumbani yake.
Hawa wazee wa kiswahili sijui wanaivunia Nini
anashangaza sana! sasa chadema hapa inakujaje?Duuuh...! Unalala Chadema,unakula chedema,unatembea chedema. Unaota chedema wewe. Pole sana nayaona maisha yako yote duniani umeyapotezea kuiwaza Chadema. Umeteseka...
Hiyo hati hadi uje uipate umeshaangaika sana.Wizara yenyewe ndiyo inayoendekeza hiyo tabia ya kutapeliana kwasababu wanafanya mambo yanakua magumu kwa wananchi hadi wanafikia hatua yakufanya mambo kienyeji mitaani.Kuna Umuhimu sana wa kuwa na Hati miliki kutoka wizarani kwa kiwanja unacho miliki
Watu wengi wamezoea kununua viwanja kizamani ,ile ya kwenda kwa m/kiti au mjumbe kusainishana haitoshi inabidi watu wajiongeze
.kwa Kila kiwanja unachotaka kununua uhakikishe
Kimepimwa
Kuna ramani ya mipango mji eneo husika
Ikitokea unauziwa na mtu binafsi ni muhimu sana hicho kiwanja kiwe na Hati miliki kutoka wizarani ,kama hakina hiyo aliyekuuzia akupe ushirkiano kufanya mchakato wa Hati miliki ya wizarani
Note:
Ni muhimu sana
Kupata hati kwakweli ni mtiani kidogo ila ukitoa ushirikiano (pesa) zoezi linakua jepesiHiyo hati hadi uje uipate umeshaangaika sana.Wizara yenyewe ndiyo inayoendekeza hiyo tabia ya kutapeliana kwasababu wanafanya mambo yanakua magumu kwa wananchi hadi wanafikia hatua yakufanya mambo kienyeji mitaani.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni kuwa makini tu,mie niliuziwa kiwanja lakini baada ya muda aliyeniuzia akaanza kuumia ati ni kikubwa kuliko pesa,nikamwambia mega bas na akamega kweli hatua Moja.Bas ikawa amani
Aisee, ngoja tujikomalie huku huku vijijiniWewe hujui watu mkuu, watu ni toba
Nenda naye taratibu. Masuala ya ardhi yana nguvu nyingi nyuma yake ikiwemo uchawi. Kuwa makini asije kuroga. Samehe bro, utarogwa.Me Pana mpumbavu aliniuzia kiwanja ubavu wa nyumba yake baada ya kuondoka kurudi nakuta kamuuzia mtu mwingine na keshajenga kabisa na frem,yaani namuangalia huyu Mzee simmalizi sijui nimpe adhabu gani.
Hata pesa za kurejesha Huwa hawana Mimi nataka niuze nyumbani yake.
Hawa wazee wa kiswahili sijui wanaivunia Nini
Hv dar huwa ni nchi inajitegemea au ni mkoa kama mikoa mingne bossBora mikoani na Sio Dar
Topic nzuri lakini haujaitendea haki!.Pesa, Ardhi na Mapenzi.
Hivi ni vitu vilivyo mwaga damu sana, vilivyo karibisha ushetani, vilvyo vunja utu na vilivyo tengeneza uhasama mkubwa sana.
Lakini bado ni vitu vyenye thamani kuliko vitu vyote.
Unapotafuta kiwanja, inabidi uwekeze zaidi katika umakini na upelelezi.
Kuna sehemu nilipata kiwanja, jamaa akawa tayari kuniuzia, lakini kumbe nyuma ya pazia kile kiwanja ni urithi wa watoto wa kaka yake yani baada ya kaka yao kufariki na barua zipo. Yeye akawa amepewa cha nyuma yake ila yeye anang'ang'ania pote.
Kuna sehemu nilipata kiwanja, jamaa akawa ananihakikishia kabisa kuwa hakuna tabu na hadi majirani zake (kabila moja) pale wakawa wanachochea. Lakini kwa bahati nzuri kuna afisa ardhi anaishi pembeni na anamjua mshikaji wangu niliekuwa nae, akatuita pembeni na kuniambia kuwa hapo pana mgogoro jamaa anaekuuzia alinunua kiwanja cha mtu mwingine kwa hio ni kama anataka arushie mtu janga asepe.
Kuna sehemu tena, jamaa ana burgain bei na mimi bei kumbe kiwanja sio chake, ni cha mdogo wake, baadae baada ya kumchimba eti ndio ananiambia sio chake. Kwa hio ina maana bei aliotaka kupatana na mimi ilikuwa kaeka commission yake juu.
KUWENI MAKINI.
LandPesa, Ardhi na Mapenzi.