political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
One love mwanangu nakubaliNi kuwa makini tu,mie niliuziwa kiwanja lakini baada ya muda aliyeniuzia akaanza kuumia ati ni kikubwa kuliko pesa,nikamwambia mega bas na akamega kweli hatua Moja.Bas ikawa amani
Pamoja wangu😊
Mimi mimeshakuwa dalali kwa miaka mingi najua A to Z kuhusu utapeli wa viwanja kuna mtu apo juu nimemsikia anasema kiwanja kizuri ni kile chenye hati nakupa hii chukua ...ishu ya utapeli wa viwanja mgao unaenda adi wizarani yani utapigwa na hati yako mkononi unayo na cha kufanya huna..
Kisha kuna maeneo hayajapimwa kabisa.Hajawai kukutana na double allocations za hati.
Kiwanja kimoja kina hati tatu zenye wamiliki tofauti na zote zimetolewa na manispaa ama wizara ya ardhi
Hayo mnayoyasema inawezekana ikawa ni kweli ,Lakini sijawahi kuskia mtu akilalamika ametapeliwa kiwanja na ana Hati miliki ya wizara ya hicho kiwanjaHajawai kukutana na double allocations za hati.
Kiwanja kimoja kina hati tatu zenye wamiliki tofauti na zote zimetolewa na manispaa ama wizara ya ardhi
Kama eneo halijapimwa hati ya wizara huwezi kupataKisha kuna maeneo hayajapimwa kabisa.
Mkuu kuthibitisha haya uyasemayo njoo na mfano halisi wa mtu aliyewahi kutapeliwa kiwanja akiwa na Hati miliki kutoka wizaraniMimi mimeshakuwa dalali kwa miaka mingi najua A to Z kuhusu utapeli wa viwanja kuna mtu apo juu nimemsikia anasema kiwanja kizuri ni kile chenye hati nakupa hii chukua ...ishu ya utapeli wa viwanja mgao unaenda adi wizarani yani utapigwa na hati yako mkononi unayo na cha kufanya huna..
Miaka kama 7 hadi 10 iliyopitaIlikuwa lini hiyo mkuu halafu hapo Benaco viwanja bei gani
Wewe unacho sahau utapeli wa kiwanja chenye hati ya wizara, ni tofauti na utapeli wa kiwanja ambacho hakina hati ya wizara,.......chenye hati ya wizara kina tapeliwa na mwenyewe au rafiki yake au mtoto wake wa karibu, kwa ku-duplicate hati hizo na kala za kutosha, kila anae muuzia anampa hati fake ukienda kuchecki system inasoma vizuri tu, original anayo mwenyewe mnaweza kuuziwa hata watu watatu bila kujua au kujuana, kizaza kinakuja pale kwenye kubadili majina ya hati ndo utagundua kwamba hati ni fake, hu mchezo uko sana wilaya ya ubungo kinondoni na kigamboniMkuu kuthibitisha haya uyasemayo njoo na mfano halisi wa mtu aliyewahi kutapeliwa kiwanja akiwa na Hati miliki kutoka wizarani
Nje ya hapo hizi zitabaki kuwa story za vijiweni tuu
Hivi unaijua hati miliki kutoka wizarani kweli?
Acheni kudhalilisha wizara ya ardhi
Hii ni nchi ndani ya mkoa we uoni Tabia za Dar si za mikoani.Hv dar huwa ni nchi inajitegemea au ni mkoa kama mikoa mingne boss
Nimeipenda hii comment yako. Aisee hiyo inaitwa sitaki shari 😍😍Ni kuwa makini tu,mie niliuziwa kiwanja lakini baada ya muda aliyeniuzia akaanza kuumia ati ni kikubwa kuliko pesa,nikamwambia mega bas na akamega kweli hatua Moja.Bas ikawa amani
Polee,na huwa unamuona unakatiza humu jf?Mi nilipigiwa humu humu JF[emoji119]
Ila wee dada Mungu akusaidie
Halafu eti huyu dalali mwanamke nasikia ni mwanaume,kuna ukweli kwenye hili?Very true watu kama
Dalali mwanamke
Vijana real estate
Cholemu
Hawana longo longo,
Na kwanini nitumie pesa kupata haki yangu?Kupata hati kwakweli ni mtiani kidogo ila ukitoa ushirikiano (pesa) zoezi linakua jepesi
Kabisa ndugu yanguNimeipenda hii comment yako. Aisee hiyo inaitwa sitaki shari 😍😍
Sasa utakua mjinga kiasi gan ukubali kununua hicho kiwanja kabla ya kuanza process za ku transferWewe unacho sahau utapeli wa kiwanja chenye hati ya wizara, ni tofauti na utapeli wa kiwanja ambacho hakina hati ya wizara,.......chenye hati ya wizara kina tapeliwa na mwenyewe au rafiki yake au mtoto wake wa karibu, kwa ku-duplicate hati hizo na kala za kutosha, kila anae muuzia anampa hati fake ukienda kuchecki system inasoma vizuri tu, original anayo mwenyewe mnaweza kuuziwa hata watu watatu bila kujua au kujuana, kizaza kinakuja pale kwenye kubadili majina ya hati ndo utagundua kwamba hati ni fake, hu mchezo uko sana wilaya ya ubungo kinondoni na kigamboni