Utajiri ni Siri, na Siri ndio Utajiri wenyewe

bila kuwa na siri uwezi kufanikiwa kwenye jambo lolote
 
Ushauri mzuri tu.
Ila watu siku hizi wamekuwa wabishi sana. Yaani sana kuliko nyakati za Musa.
 
Mwenzio nachoka kusoma nyuzi ndefu ujue!! Huwezi samaraizi??? Aaraaaaahh....
 
Hakuna siri ya utajiri au kuwa Msiri ndio utajiri . utajiri wa siri unatoka kwa shetani. Neno la Mungu linasema Mungu ndie akupae utajiri . soma kumbukumbu 8:18 Mungu ndiye atupae nguvu ya kupata utajiri Mungu akikupa hakuna cha siri . Matajiri wenye siri utajiri wengi wameupata kwa njia zisizo halali, wizi , dhuruma, kupora , kuua watu, ruswa na ufisadi. ndio maana utajiri wao ni siri. ila tajiri alie pewa na Mungu hakuna usiri soma kina Ibrahimu na selemani, na Ayubu ktk vitabu vya Mungu hakuna siri ktk utajiri wao.
 
Mwenzio nachoka kusoma nyuzi ndefu ujue!! Huwezi samaraizi??? Aaraaaaahh....

Unasoma mpaka uwezo wako ulipoishia,

Ndio maana kuna walioishia darasa la pii, la saba,
Kidato cha pili, kidato cha nne, six na wengine diploma, shahada mpaka uprofesa.

Soma mpaka uwezo wako utakapoishia, au hata usisome kabisa wala haitakudhuru
 

Hakuna utajiri bila ya Siri
Hakuna Mungu bila ya Siri
Siri ndio Mungu, na Mungu ndio Siri.

Nguvu ni siri
Uwezo ni siri
Mamlaka ni siri
Utajiri ni siri
Ubunifu ni Siri
Uumbaji ni Siri

Nadhani unapaswa ufikiri vyema Mkuu
 
Walokole mmeanza kutufokea Sasa.
 
Neno la Mungu linasema Mungu ndie akupae utajiri soma kumbukumbu 8:18 Bibilia. Neno alijasema Mungu anatupa kwa siri. utajiri wa siri ni washetani pia kumbuka si kila tajiri ni mkono wa Mungu wengine wameua . wachawi, wanaishi na manyoka ndani wameua watoto na wazazi wao hizo ndizo siri za utajiri sio kila tajiri ni Mungu. utajiri wa Mungu kwake hakuna siri. bali ni baraka.
 

Nishakuambia utajiri ni siri, nguvu hata wewe unazo,
 
fedha na dhahabu ni Mali ya Bwana Mungu umpa ampendae . sio siri. utajiri wa siri ni washetani hata shetani ni tajiri sana . je? wewe unaongelea utajiri gani? kweli utajiri wa shetani ni siri kubwa uwa mama au mtoto au watoto , kuvunja na kupora na kuua. wizi wa mali mbali mbali na ujambazi kisha ukawa tajiri ndio Maana matajiri wengi na utajiri ni siri kubwa wakikueleza unaweza kuzimia au kufa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…