Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo mbarali utatoboaNataka nianze hichi kilimo mkuu mtaji wangu 1.5 M nataka kulima hekari moja kwa kuanzia . Hopefully mambo yatakua mazuri
Me sitangaazi biashara nimetoa muongozo tu Kwa wakulima kuweza kujaribu hata kwa kidogo kujenga Uzoefu nowadays mpunga ni zao la biashara haliwezi kukosa sokoNdio lugha laini hizo za kuwavuta
Mafanikio ni uwezo wa kuminimize risk..sio kujilipua
Mahenge,kibomaVijiji gani nije kujifunza ndugu?
Pamoja
Huku msimu unaanzia laki mbili mpaka Tatu ni scheme maji Yako kwenye mfumo wastani wa mazao kwa ekari ni kilo 400 mpaka 500kgKukodi ekari Moja sh ngapi huko?
Wastani gunia 40 Mpaka 50Ekari Moja Kwa wastani hutoa gunia ngapi?
Huko Nako kuzuriNjoo mbarali utatoboa
Yaah kupo vzur mkuuHuko Nako kuzuri
Mwakani ntapitia Huko kufanya surveyYaah kupo vzur mkuu
Tatizo ndege wanasumbua sana kwenye mpunga hasa kiangaziiKILIMO BORA CHA MPUNGA:
A: kuandaa shamba
- shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow)
- Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti
- weka mifereji ya Maji vizuvizur
- Andaa majaruba mapema yawe level kupitika Kwa maji
B: UANDAAJI WA MBEGU NA KUPANDA
- Kwa kilimo Cha nchi kavu kwenye miinuko andaa Mbegu kama,BAROKA,TUMAINI,PATO,FARAJA,WAB zinahimili magojwa na ukame kwenye hekta Moja Tumia kilo 80 au ekari Moja debe mbili,Unaweza mwaga Kwa mistari au zigi zaga
- Kwa kilimo Cha umwagiliaji kwanza andaa Mbegu kama SARO 5,KOMBOKA,TAI,TARIKI,SUPA
- Andaa kitalu Cha mita 5 Kwa 20 tuta
- Loweka Mbegu Kwa siku tatu Kisha kasie kwenye kitalu
- Mbegu itakaa kwenye kitalu Kwa muda wa Siku 21-28 hamisha kwenye majaruba Ukiwa Tayar ushachavyanga na kupiga dawa ya kuua magugu
- Panda Kwa mistari mche Hadi mche ni sm 15 Kwa sm15
- Miche 2-3 kw Shina Moja pandikiza Kwa kamba
C: UWEKAJI WA MBOLEA
- Mbolea ya kupandia kama DAP.,NPK ,MINJINGU kilo 40 Kwa ekari moja
zinasaidia kutoa mizizi na pacha
- Mbolea ya kukuzia Kuna nyakati Mbili
(1) Wakati wa kupacha hii unaweza MBOLEA siku 14 baada ya kupandikiza UREA ,SA, CAN
(2) Wakati wa mimba dume hii siku 25 kabla ya kuchanua UREA,SA inasaidia ujazo wa punje na uzito
D: PALIZI
-Ni muhimu shamba lipaliliwe Kuanzia siku 16 mpaka 24 tangu kupandikiza au kumwagwa
-kuna Njia tatu za PALIZI
(1) Kutumia mashine ya palizi
(2) Kungolea Kwa mkono
(3) Kutumia viatilifu vya kuua wadudu kama PILAR SPIRIT 167 OD,RICE CLEAR 100SC,PILARILO 500EC
E: MAGONJWA
- Ukungu,mabaka baka,mnyauko wa majani,kimnyangaa, Kuwepo Kwa funza weupe
- Tiba kung'oa mimea iliyoathiliwa, Nyunyiza dawa kama THIODEN,ENDOSULFET,FETHIONI Kila baada ya wiki Mbili ikiambatana na MBOLEA za Busta kama SUPER GLOW, FINCH NK
F: ULINZI NA MAVUNO
- Ni muhimu kulinda ndega mapema pindi mpunga unapoanza kuchanua mpaka kuvuna
- Ni muhimu kuwahi kuvuna usiuachie ukauke Sana mpaka upukutike shambani.
KILIMO CHA MPUNGA NI UTAJIRI MKUBWA USIO NA KIFANI MKAWE NA MAANDALIZI MEMA
BY MHINA JR
Swali zuri sanaJe unalima mpunga!? Una muda gani kwenye kilimo hicho na je umepata mafanikio yepi.
Nashukuru
Ushukuru haujakutana na KIMYANGA na Mafuriko mimi mwaka huu heka 40 zote zimeenda na maji....KILIMO BORA CHA MPUNGA:
A: kuandaa shamba
B: UANDAAJI WA MBEGU NA KUPANDA
- shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow)
- Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti
- weka mifereji ya Maji vizuvizur
- Andaa majaruba mapema yawe level kupitika Kwa maji
C: UWEKAJI WA MBOLEA
- Kwa kilimo Cha nchi kavu kwenye miinuko andaa Mbegu kama,BAROKA,TUMAINI,PATO,FARAJA,WAB zinahimili magojwa na ukame kwenye hekta Moja Tumia kilo 80 au ekari Moja debe mbili,Unaweza mwaga Kwa mistari au zigi zaga
- Kwa kilimo Cha umwagiliaji kwanza andaa Mbegu kama SARO 5,KOMBOKA,TAI,TARIKI,SUPA
- Andaa kitalu Cha mita 5 Kwa 20 tuta
- Loweka Mbegu Kwa siku tatu Kisha kasie kwenye kitalu
- Mbegu itakaa kwenye kitalu Kwa muda wa Siku 21-28 hamisha kwenye majaruba Ukiwa Tayar ushachavyanga na kupiga dawa ya kuua magugu
- Panda Kwa mistari mche Hadi mche ni sm 15 Kwa sm15
- Miche 2-3 kw Shina Moja pandikiza Kwa kamba
- Mbolea ya kupandia kama DAP.,NPK ,MINJINGU kilo 40 Kwa ekari moja
zinasaidia kutoa mizizi na pacha
- Mbolea ya kukuzia Kuna nyakati Mbili
(1) Wakati wa kupacha hii unaweza MBOLEA siku 14 baada ya kupandikiza UREA ,SA, CAN
(2) Wakati wa mimba dume hii siku 25 kabla ya kuchanua UREA,SA inasaidia ujazo wa punje na uzito
D: PALIZI
-Ni muhimu shamba lipaliliwe Kuanzia siku 16 mpaka 24 tangu kupandikiza au kumwagwa
-kuna Njia tatu za PALIZI
(1) Kutumia mashine ya palizi
(2) Kungolea Kwa mkono
(3) Kutumia viatilifu vya kuua wadudu kama PILAR SPIRIT 167 OD,RICE CLEAR 100SC,PILARILO 500EC
E: MAGONJWA
F: ULINZI NA MAVUNO
- Ukungu,mabaka baka,mnyauko wa majani,kimnyangaa, Kuwepo Kwa funza weupe
- Tiba kung'oa mimea iliyoathiliwa, Nyunyiza dawa kama THIODEN,ENDOSULFET,FETHIONI Kila baada ya wiki Mbili ikiambatana na MBOLEA za Busta kama SUPER GLOW, FINCH NK
KILIMO CHA MPUNGA NI UTAJIRI MKUBWA USIO NA KIFANI MKAWE NA MAANDALIZI MEMA
- Ni muhimu kulinda ndega mapema pindi mpunga unapoanza kuchanua mpaka kuvuna
- Ni muhimu kuwahi kuvuna usiuachie ukauke Sana mpaka upukutike shambani.
BY MHINA JR
Halina akili hilo achana nalo,mm ni mkulima mkuu nakuelewa haswa,harafu kuna upumbavu nauoaga humu yaan mtu akiwa na jambo la maana anataka ku-share basi wapumbavu kama hao hawakosekani.Me sitangaazi biashara nimetoa muongozo tu Kwa wakulima kuweza kujaribu hata kwa kidogo kujenga Uzoefu nowadays mpunga ni zao la biashara haliwezi kukosa soko
Ni kweli ila ukijipanga kukabiliana nawo hawana tabuTatizo ndege wanasumbua sana kwenye mpunga hasa kiangazii