Mhina Martin
Senior Member
- Apr 3, 2017
- 144
- 189
- Thread starter
- #61
KaribuSafi sana mkuu, nilikuwa nawaza kuchimba visima shambani kwangu kwaajili ya kumwagilia mpunga. Nazani itabidi nije kwanza korogwe kuangalia hizo fursa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaribuSafi sana mkuu, nilikuwa nawaza kuchimba visima shambani kwangu kwaajili ya kumwagilia mpunga. Nazani itabidi nije kwanza korogwe kuangalia hizo fursa
Ungeweka ghalama za uzalishaji vs mapato katika eneo husika ingekuwa vizuri sana . Kilimo hapa Tanzania Kwa mazao mengi inarange kuanzia faida ya 1.5 m na kuendelea Kwa mazao mengi . By experience nimeliona Hilo ndio maana kila eneo wakulima wanalima vilimo mbalimbali na kustawi kimaisha akuna zao zuri au baya mafunzo ndio muhimu kuamua kipatoKILIMO BORA CHA MPUNGA:
A: kuandaa shamba
B: UANDAAJI WA MBEGU NA KUPANDA
- shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow)
- Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti
- weka mifereji ya Maji vizuvizur
- Andaa majaruba mapema yawe level kupitika Kwa maji
C: UWEKAJI WA MBOLEA
- Kwa kilimo Cha nchi kavu kwenye miinuko andaa Mbegu kama,BAROKA,TUMAINI,PATO,FARAJA,WAB zinahimili magojwa na ukame kwenye hekta Moja Tumia kilo 80 au ekari Moja debe mbili,Unaweza mwaga Kwa mistari au zigi zaga
- Kwa kilimo Cha umwagiliaji kwanza andaa Mbegu kama SARO 5,KOMBOKA,TAI,TARIKI,SUPA
- Andaa kitalu Cha mita 5 Kwa 20 tuta
- Loweka Mbegu Kwa siku tatu Kisha kasie kwenye kitalu
- Mbegu itakaa kwenye kitalu Kwa muda wa Siku 21-28 hamisha kwenye majaruba Ukiwa Tayar ushachavyanga na kupiga dawa ya kuua magugu
- Panda Kwa mistari mche Hadi mche ni sm 15 Kwa sm15
- Miche 2-3 kw Shina Moja pandikiza Kwa kamba
- Mbolea ya kupandia kama DAP.,NPK ,MINJINGU kilo 40 Kwa ekari moja
zinasaidia kutoa mizizi na pacha
- Mbolea ya kukuzia Kuna nyakati Mbili
(1) Wakati wa kupacha hii unaweza MBOLEA siku 14 baada ya kupandikiza UREA ,SA, CAN
(2) Wakati wa mimba dume hii siku 25 kabla ya kuchanua UREA,SA inasaidia ujazo wa punje na uzito
D: PALIZI
-Ni muhimu shamba lipaliliwe Kuanzia siku 16 mpaka 24 tangu kupandikiza au kumwagwa
-kuna Njia tatu za PALIZI
(1) Kutumia mashine ya palizi
(2) Kungolea Kwa mkono
(3) Kutumia viatilifu vya kuua wadudu kama PILAR SPIRIT 167 OD,RICE CLEAR 100SC,PILARILO 500EC
E: MAGONJWA
F: ULINZI NA MAVUNO
- Ukungu,mabaka baka,mnyauko wa majani,kimnyangaa, Kuwepo Kwa funza weupe
- Tiba kung'oa mimea iliyoathiliwa, Nyunyiza dawa kama THIODEN,ENDOSULFET,FETHIONI Kila baada ya wiki Mbili ikiambatana na MBOLEA za Busta kama SUPER GLOW, FINCH NK
KILIMO CHA MPUNGA NI UTAJIRI MKUBWA USIO NA KIFANI MKAWE NA MAANDALIZI MEMA
- Ni muhimu kulinda ndega mapema pindi mpunga unapoanza kuchanua mpaka kuvuna
- Ni muhimu kuwahi kuvuna usiuachie ukauke Sana mpaka upukutike shambani.
BY MHINA JR
Mkuu unalima pande zipo?
Inawezekana ila kwa upande wangu na uzoefu mdogo nilikuwa nawo wa kilimo hichi sijawahi kumbana na hyo hali ila kilimo asaivi ni sayansi kinahitaji ufuatiliaji na update mpya za taarifa zinazohusu zao hili mara kwa maraKuna kitu ambacho wengi hawakisemi kwenye kilimo mimi cha mpunga sasa nina miaka kadhaa ila kuna siri wengi hawausemi na hata mimi sikuambiwa na wwnyeji wangu.
Kwenye kilimo kuna uchawi mwingi saana hasa ukilima na wasukuma bila kuroga haufiki malengo utashangaa heka moja unapata gunia 5 wakat huo huo mwenzako heka moja gunia 15 hadi 20
Mkuu unalima pande Tanga
Acha kuchafua kabila la watu, sumbawanga, runway, kigoma, mbarali unataka kuniambia watu wasio wasukuma hawapati mazao? Acha uzembe boresha kilimo chakoDah hv huko hakuna masukuma? Maana hao ukilima nao pamoja walahi hauvuni kama ulivolenga badla ya gunia 50 utapata 10
Limekuuma eeh!Acha kuchafua kabila la watu, sumbawanga, runway, kigoma, mbarali unataka kuniambia watu wasio wasukuma hawapati mazao? Acha uzembe boresha kilimo chako
Hapa nakubaliana na wewe 100% kwenye kilimo kuna umafia saanaNilikodi shamba sasa jambo la kushangaza kumbe mwenye shamba akawa analichezea msimu uliofuata niliweka madude mpaka yule mzee akaanguka katikati ya shamba na aliumwa sana akawa anatuma watu niende nikamuone....watu wa liwale ni washamba mno
Kwa mantiki hii kama mtu hawezi kusimamia shmba asilime??Kilimo cha mpunga kinahitaji usimamizi
"Mbolea ya shamba ni ww mwenyewe"
Mkuu Mhina Martin huko kilimo mnaanza mwezi wa ngapi? Na je mashamba yanapatikana?Update mpunga ushatoka shambani mbali na changamoto tulizopitia ila Mungu mwema afadhali tutasonga tena
Ndiyo Msimu mzuri tunaanza mwezi wa TanoMkuu Mhina Martin huko kilimo mnaanza mwezi wa ngapi? Na je mashamba yanapatikana?