Utajiri upo katika kilimo bora cha mpunga, chukua nondo hizi

Ndio lugha laini hizo za kuwavuta
Mafanikio ni uwezo wa kuminimize risk..sio kujilipua
Me sitangaazi biashara nimetoa muongozo tu Kwa wakulima kuweza kujaribu hata kwa kidogo kujenga Uzoefu nowadays mpunga ni zao la biashara haliwezi kukosa soko
 
Tatizo ndege wanasumbua sana kwenye mpunga hasa kiangazii
 
Siri moja naweza kukwambia ni huwezi kuwa mkulima na msambazaji kwa wakati m'moja lazima uchague moja. Uwe mkulima uuzie wafanya biashara au uwe mfanyabiashara ununue kwa wakulima.

Chagua moja kama unataka kuiona faida.
 
Makadirio ya juu yanaweza kuwa kiasi gani kuanzia kukodi shamba, kuandaa, kupalilia, wafanyakazi na kusafirisha, heka moja inatoa mpunga kiasi gani?
 
Ushukuru haujakutana na KIMYANGA na Mafuriko mimi mwaka huu heka 40 zote zimeenda na maji....
 
Me sitangaazi biashara nimetoa muongozo tu Kwa wakulima kuweza kujaribu hata kwa kidogo kujenga Uzoefu nowadays mpunga ni zao la biashara haliwezi kukosa soko
Halina akili hilo achana nalo,mm ni mkulima mkuu nakuelewa haswa,harafu kuna upumbavu nauoaga humu yaan mtu akiwa na jambo la maana anataka ku-share basi wapumbavu kama hao hawakosekani.

Harafu mtu huyohuyo anaweza kutoa mfano nchi kama Bangladesh wanafanikiwa vipi kwenye kilimo wakati sisi tunashindwa,na ukija humu mtu huyohuyo anaona kama unataka kuwaingiza watu chaka.


KUNA MUDA NASEMAGA TUNASOMA ILA ELIMU ZETU HAZINA MSAADA WOWOTE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…