Utajiri upo katika kilimo bora cha mpunga, chukua nondo hizi

Ungeweka ghalama za uzalishaji vs mapato katika eneo husika ingekuwa vizuri sana . Kilimo hapa Tanzania Kwa mazao mengi inarange kuanzia faida ya 1.5 m na kuendelea Kwa mazao mengi . By experience nimeliona Hilo ndio maana kila eneo wakulima wanalima vilimo mbalimbali na kustawi kimaisha akuna zao zuri au baya mafunzo ndio muhimu kuamua kipato
 
Kuna kitu ambacho wengi hawakisemi kwenye kilimo mimi cha mpunga sasa nina miaka kadhaa ila kuna siri wengi hawausemi na hata mimi sikuambiwa na wwnyeji wangu.
Kwenye kilimo kuna uchawi mwingi saana hasa ukilima na wasukuma bila kuroga haufiki malengo utashangaa heka moja unapata gunia 5 wakat huo huo mwenzako heka moja gunia 15 hadi 20
 
Update Kwa sasa ni muda wa mavuno kukata mpunga umefikia hatua hiyo
 

Attachments

  • IMG_20240911_121453_HDR.jpg
    3.3 MB · Views: 17
  • IMG_20240911_120015_HDR.jpg
    2.8 MB · Views: 12
  • IMG_20240916_111045.jpg
    3 MB · Views: 11
  • IMG_20240916_111110.jpg
    3 MB · Views: 12
  • IMG_20240911_121020_HDR.jpg
    3.7 MB · Views: 10
  • IMG_20240911_120043_HDR.jpg
    2.7 MB · Views: 8
  • IMG_20240911_114351_HDR.jpg
    2.1 MB · Views: 11
  • IMG_20240911_121232_HDR.jpg
    3.5 MB · Views: 13
  • IMG_20240916_111012.jpg
    2.8 MB · Views: 13
  • FB_IMG_1725994832150.jpg
    159.1 KB · Views: 13
  • IMG_20240911_120727_HDR.jpg
    3.4 MB · Views: 11
  • IMG_20240916_110956.jpg
    2.9 MB · Views: 7
  • IMG_20240911_113842_HDR.jpg
    2.6 MB · Views: 11
  • IMG_20240911_120537_HDR.jpg
    3 MB · Views: 9
  • IMG_20240911_122106_HDR.jpg
    3.2 MB · Views: 10
  • IMG_20240911_120508_HDR.jpg
    2.8 MB · Views: 6
  • IMG_20240911_120519_HDR.jpg
    3.6 MB · Views: 11
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Inawezekana ila kwa upande wangu na uzoefu mdogo nilikuwa nawo wa kilimo hichi sijawahi kumbana na hyo hali ila kilimo asaivi ni sayansi kinahitaji ufuatiliaji na update mpya za taarifa zinazohusu zao hili mara kwa mara
 
Dah hv huko hakuna masukuma? Maana hao ukilima nao pamoja walahi hauvuni kama ulivolenga badla ya gunia 50 utapata 10
 
Dah hv huko hakuna masukuma? Maana hao ukilima nao pamoja walahi hauvuni kama ulivolenga badla ya gunia 50 utapata 10
Acha kuchafua kabila la watu, sumbawanga, runway, kigoma, mbarali unataka kuniambia watu wasio wasukuma hawapati mazao? Acha uzembe boresha kilimo chako
 
Nilikodi shamba sasa jambo la kushangaza kumbe mwenye shamba akawa analichezea msimu uliofuata niliweka madude mpaka yule mzee akaanguka katikati ya shamba na aliumwa sana akawa anatuma watu niende nikamuone....watu wa liwale ni washamba mno
 
Wachina wamekuja na mbinu genius ya kumaliza magugu na wadudu bila madawa
Wanapeleka Bata mashambani ndio wanamaliza kazi
 
Update mpunga ushatoka shambani mbali na changamoto tulizopitia ila Mungu mwema afadhali tutasonga tena
 

Attachments

  • IMG_20240922_170111.jpg
    969 KB · Views: 14
  • IMG_20240922_170043.jpg
    1.4 MB · Views: 14
  • IMG_20240922_170111.jpg
    969 KB · Views: 12
  • IMG_20240922_170043.jpg
    1.4 MB · Views: 14
  • IMG_20240922_170007.jpg
    1 MB · Views: 11
Nilikodi shamba sasa jambo la kushangaza kumbe mwenye shamba akawa analichezea msimu uliofuata niliweka madude mpaka yule mzee akaanguka katikati ya shamba na aliumwa sana akawa anatuma watu niende nikamuone....watu wa liwale ni washamba mno
Hapa nakubaliana na wewe 100% kwenye kilimo kuna umafia saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…