Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Shida ya Tza au afrika ni uongozi.Kama ni rahisi hivyo tunakwama wapi?....
Na Sio raslimali, Nguvu,soko,mitaji hivi vimejaa tele shida fikra ya kuvitumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ya Tza au afrika ni uongozi.Kama ni rahisi hivyo tunakwama wapi?....
Asset na raslimali kama hazitumiki kuleta utajiri hazina thamaniNdio hapo utajiri unapopimwa kwa vigezo ndivyo sivyo.....
Ukiangalia assets zote kwa ujumla (pamoja na nguvukazi watu, n.k.) hata nchi yenye kipato kidogo kulivyo vyote duniani huenda Apple isiifikie nchi hiyo..., Hio Apple kesho ikija chungwa usishangae Apple akawa history kama vile kina Nokia walivyotoka kwenye soko....
alafu watu wanalopoka deni la taifa ni kubwa,wapumbavu sanaAlafu anatokea mjinga mmoja anasema wazungu ni mabeberu....
Infact wanadamu sisi sote ni mabeberu. Ndio hulka yetu. UBINAFSI.Alafu anatokea mjinga mmoja anasema wazungu ni mabeberu....
Hazina thamani leo au jana vipi kuhusu kesho ? Na utajiri ni nini ? (Ardhi, Maziwa, Watu, au Umiliki wa Asset ; ambayo nchi ni asset)... Au ni makaratasi fulani ambayo kwa wakati huu tumepatana / wamepatana kwamba value yake ni kiasi fulani ila kesho tunaweza kubadilika kwamba karatasi hizo hata kuzichoma kama kuni hazina faida ?Asset na raslimali kama hazitumiki kuleta utajiri hazina thamani
SASA tuigeuze hiyo mbuga ya Serengeti iwe pesa...hapa ndipo shida itaanzia panahitaji Akili ndefu kugeuza raslimali kuwa pesasisi tuna asset zakutosha kuliko hao Apple... inawezekana bond yetu moja ya mbuga ya serengeti ikawa zaidi ya huo utajiri wa Apple..
Yeye katumia akili,nguvu Kazi na raslimali kaupata utajiri huo sisi hatuwezi hatuna fikra za kugeuza fursa kuwa pesaHazina thamani leo au jana vipi kuhusu kesho ? Na utajiri ni nini ? (Ardhi, Maziwa, Watu, au Umiliki wa Asset ; ambayo nchi ni asset)... Au ni makaratasi fulani ambayo kwa wakati huu tumepatana / wamepatana kwamba value yake ni kiasi fulani ila kesho tunaweza kubadilika kwamba karatasi hizo hata kuzichoma kama kuni hazina faida ?
Nchi inajivunia watu (loyal citizens) hata iweje ni wananchi wa taifa hilo..., Apple akifanya fyongo tu kesho watu watahamia kwenye Pears...., all in all nchi yenye ardhi na sovereignty huwezi kuilinganisha na abstract things kama stock prices or nguvu ya dollar (FIAT MONEY)..., Of course Brand name au Fame ya Brand inaweza ikawa valuable (lakini hizo ni perceptions na power of marketing which can change overnight); ila nguvukazi ya watu elfu kadhaa kule Burkina-Faso ni asset ambayo ikitumika inaweza hata kulima mchicha au kuvua dagaa....
Nakuacha na msemo wa Voltaire kuhusu Paper Money
Paper money eventually returns to its intrinsic value: zero.
Juha mmoja anaropoka zisi is dona kantre! Hicho ni kikampuni kimoja tu ndani ya the real donor country!Alafu anatokea mjinga mmoja anasema wazungu ni mabeberu....
Utajiri ni Pesa ?Yeye katumia akili,nguvu Kazi na raslimali kaupata utajiri huo sisi hatuwezi hatuna fikra za kugeuza fursa kuwa pesa
Utajiri wa kweli ni haki, amani na furaha binafsi ya mtu anavyovipata kupitia Roho Mtakatifu. Haya, linapokuja kwenye mambo ya msingi kama hayo mtu mtu anayemiliki au kufanya kazi Apple anaweza kuwa maskini sana kuliko yule anayemiliki au kufanya kazi kwenye genge la matunda chini ya mwembe.
Omba Mungu akunyime vyote lakini akupe utajiri wa vya rohoni.
Kampuni ya Apple ambayo inatengeneza bidhaa za iPhones na Mac imekuwa kampuni ya kwanza kufikia thamani ya dola trilioni 3 katika soko la hisa
Thamni hiyo ni kubwa kuzidi hata Pato la Ndani la Afrika(GDP) ambalo ni dola trilioni 2.6
Kampuni hiyo imefanikiwa kukua kwa kasi ndani ya miezi 16 ambapo #COVID19 imekuwa ikisumbua dunia
maskini huwa wanawaza uduni tu,wanapenda sana misaada hata kwa gharama ya malindaJuha mmoja anaropoka zisi is dona kantre! Hicho ni kikampuni kimoja tu ndani ya the real donor country!
Maneno ya kufarijiana masikini.Utajiri wa kweli ni haki, amani na furaha binafsi ya mtu anavyovipata kupitia Roho Mtakatifu. Haya, linapokuja kwenye mambo ya msingi kama hayo mtu mtu anayemiliki au kufanya kazi Apple anaweza kuwa maskini sana kuliko yule anayemiliki au kufanya kazi kwenye genge la matunda chini ya mwembe.
Omba Mungu akunyime vyote lakini akupe utajiri wa vya rohoni.
Unaelewa maana ya beberu?Alafu anatokea mjinga mmoja anasema wazungu ni mabeberu....
Muafrica atakwambia tufanye maombi mkuu 🤣 🤣 🤣SASA tuigeuze hiyo mbuga ya Serengeti iwe pesa...hapa ndipo shida itaanzia panahitaji Akili ndefu kugeuza raslimali kuwa pesa
Ukiwa na humility mkuu,huwezi mwita binadamu yeyote beberu au nyaniUnaelewa maana ya beberu?
Kama havitumiki havina thamani thus tunajenga nyumba juu ya dhahabu.Utajiri ni Pesa ?
Na Rutuba, Mazao, Maziwa, Bahari na Mito yenye chakula mfano samaki ni umasikini ? Kwahio nchi ni Tajiri kutokana na kuwa na Rasilimali Watu na Ardhi (Real Estate) hii iwe kesho, au keshokutwa bado itakuwa valuable sababu ndio source of wealthy..... Ni kama mgodi kutokuuvuna mgodi leo na kuondoa hizo dhahabu na kuzivaa haimaanishi hapo chini hakuna dhahabu....
Ngoja nikupe tu wazo Hivi unadhani ni fedha kiasi gani itabidi uzitoe ili uweze kumiliki tu sehemu kama Bariadi, Maswa au hata tuseme Timbuktu ? (Huwezi sababu hizi sehemu ni priceless)..., Ingawa Apple ukifika dau tu kwa Shareholders wanakupa chako na ku-shake your hand.....
Long term wealthy na short time Partying.......Kama havitumiki havina thamani thus tunajenga nyumba juu ya dhahabu.
Kuwa na raslimali tele huku unakosa basic needs sio sawa
Unashindwa kutofatutisha Kati ya GDP na market capitalisation.Kampuni ya Apple ambayo inatengeneza bidhaa za iPhones na Mac imekuwa kampuni ya kwanza kufikia thamani ya dola trilioni 3 katika soko la hisa
Thamni hiyo ni kubwa kuzidi hata Pato la Ndani la Afrika(GDP) ambalo ni dola trilioni 2.6
Kampuni hiyo imefanikiwa kukua kwa kasi ndani ya miezi 16 ambapo #COVID19 imekuwa ikisumbua dunia