Utajiri wa Diamond Platinumz wafikia Billion 8.6 za Kitanzania

Na akiamini atamzidishia nini kwa mfano??
Ungekisoma alichoandika hadi mimi nikauliza hivi, basi naamini kwa mtu ambaye akili zake ziko full chaji muda wote asingeniuliza upuuzi kama huu.
 
Hizo million za endorsement mnazosema kalipwa mna uhakika amelipwa hizo pesa?? Na kama amelipwa mbona hakuna fair price mnasema tu zaidi ya kiasi fulani?? Na kama amelipwa unafikiri kodi inachukuliwa ngapi hapo?? Mbona miamala yake ya kodi TRA sio kwa mapato hayo ya hizo pesa mnazodanganyana kwenye mitandao.. Akilipwa na Uber Million 60 unazosema unafikiri zote zinaingia mfukoni mwake?? Hiyo 60 million anaweza kwenye account akaingiza 30 au 35 pekee hizo zingine zikaishia kwenye kodi na malipo kwa mameneja wake..

Na sidhani kama ni kweli Diamond ana hizo nyumba nyingi mnazosema, huo ni uzushi, Diamond sio msiri kiasi hicho ashindwe kuonyesha au kutangaza hizo nyumba nyingi mnazosema wakati endorsement huwa anawatangazia pesa alizolipwa.. Miaka kadhaa iliyopita alipewa Prado na boss mmoja akalitangaza ni la kwake mpaka alipokuja kunyang'anywa, alinunua nyumba Salasala akatangaza na kuiweka kwenye mitandao kila mtu akajua, hivi kweli mnafikiri Diamond anaweza kumiliki kitu watu wakashindwa kujua?? Kama mpaka kitanda cha mtoto wake na chumba chake kila Mtanzania anakijua kilivyo ndio anailiki majumba mengi asiyatangaze??

Jamani hizo pesa endeleeni kuzitaja tu kama ni rahisi kuzipata, na ni dhahiri mtu mwenye Billion 8 hawezi kuishi kwenye kama ile nyumba Diamond anayokaa tena ukizingatia ni Celeb mkubwa Africa yule, Mtu mwenye Billion 8 hawezi kushare gari na mpenzi wake tena BMW second hand..
 
Ungekisoma alichoandika hadi mimi nikauliza hivi, basi naamini kwa mtu ambaye akili zake ziko full chaji muda wote asingeniuliza upuuzi kama huu.

Na wewe unayeandika unyambi kama huu ndio uko full chaji??
So bure unagongwa kinyaka msewe wewe!
Kwani ushamaliza kunyonya weye au unaanza kuwa....
hizo ndo dalili kuandika hoja mbuzi na ukijibiwa kistaarabu una hemkwa!
Ulitaka nijibu unavyotaka wewe au nikutongoze?

Shenzi baga moyo wewe...
usiniletee ma. Vi ku. N. Ya na M. A. V. I. Kujamba!
 
Umesahau kutuambia na utajiri wako ni kama elfu gapi mkuu !
 
Steph Curry
Sisi Watanzania ni watu wa kutojiongeza
Hizo deal zote ambazo wamezitaja hakuna mwenye uhakika kalipwa hizo hela
Hata Voda ukute hajapata zaidi ya Milioni 100
Sembuse tomato sosi
 
Ivi kwanza unajua maana ya bilioni??

Bilioni halafu unakaa madale Nyumba ya kupanga ukuta umejemgwa juu ya bomba la dawasco

Asubirie kwanza hasira ya jiji

Humu ndani huwa mnapost upupu sana

Ndo maana wakenya wanawaona kama vibwengo
Popoma ww
 
Dimond ndo mdudu gani??

Yani kabisa unabinya pua kumsifia mtu

Wakenya wanawadharau kwasababu nyie wambea sana, halafu hampendi kazi mnapenda ngono na pombe

Endelea kumsifua ukiona haitoshi mpe na tigo
Hater Sio halotel?
 
Ulitaka ajenge uwan kwenu ndo useme mjin?
 
Analipa kodi kiasi gani kwa mwezi au mnashabikia wakwepa kodi
 
Na ndio maana nilisema "kama mtu akili zake zipo full chaji muda wote asingeuliza swali lile" na kweli akili zako haziko sawa. Mwenye akili zilizotulia hawezi kutukana mtandaoni wakati hunijui sikujui ni maandishi tu ndio yanayotuunganisha sasa ya nini hutukane ?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…