Utajiri wa Diamond Platinumz wafikia Billion 8.6 za Kitanzania

Ni kweli ana hyo pesa?kwa muziki tu? B 8 jamani palefu si mchezo hata kama na matangazo anayotoa,kweni analipwa pesa ngapi kwa tangazo la kibiashara?
 
Vizuri Chibu kazi yako inaonekana na juhudi zako kutuvutia wengine kama mie ili nasi tuje kukuzidi.
 
Kwani hapa nipo kumpunguzia au kumuongezea nini, fisimaji wewe
Acha hasira, maana unaongea kama vile kakulazimisha uamini wakati yeye kaulizwa swali akalijibu, sasa wewe uwe umeamini au hujaamini hayo ni matatizo yako sisi hayatuhusu.
 
Doh..mmeshahamia huku? Please Tutajie na black coffee ana utajiri wa kiasi gani...
 
Sidhani kama ana utajiri huo
Unajua Shida ni kuwa chanzo cha habari hiyo yaweza kuwa ni kutoka kwa Diamond na watu wake ili kuwakoga wasanii wenzake. Bila kujua wakati mwingine ni kuwakaribisha watu wa kodi ku scrutinize mapato yako ili wakulipishe kodi kwa mujibu wa sheria.
Halafu ulalamishi unaanza kuwa TRA wanamsakama.
 
Analipa kodi?maana wasanii hawalipi kodi huku na wabongo muvu
 
Acha hasira, maana unaongea kama vile kakulazimisha uamini wakati yeye kaulizwa swali akalijibu, sasa wewe uwe umeamini au hujaamini hayo ni matatizo yako sisi hayatuhusu.
Umetumwa? Mi nina experience na interview za wasanii hasa wanapotakiwa kutaja gharama za video wanazoshoot South, networth n.k huwa wana mtindo wakufanya multiplication kwenye original figure ili ku-deceive public na kucreate attention tuwaone special sana,

kwa taarifa yako tu Diamond wala msanii yoyote wa Bongo hakuna anayefikisha walau 3bil. Damn
 
Ndio nimetumwa, vipi na wewe unataka kunituma ........ Bado narudi pale pale je, inampunguzia nini kwa wewe kubishia kitu ambacho keshakiongea ......... iwe umeamini au hujaamini hilo ni tatizo lako,kwasababu yeye si kiongozi wa ngazi yoyote kwenye jamii,kwahiyo kama anaongopa anajiongopea mwenyewe si wewe wala mimi na ndio maana hajapanda jukwaani akasema hivo ila kaulizwa ndio akasema.
 



Ivi kwanza unajua maana ya bilioni??

Bilioni halafu unakaa madale Nyumba ya kupanga ukuta umejemgwa juu ya bomba la dawasco

Asubirie kwanza hasira ya jiji

Humu ndani huwa mnapost upupu sana

Ndo maana wakenya wanawaona kama vibwengo
 
Unajua hawa wasanii wanaish maisha ya kisanii huyo diamond anaongozwa na menejiment ambayo ina manager wawili ambao ni fella,babu tale hao wote anawalipa na mkwanja wa maana wanadhan bil8 hela ya mboga wa mziki wa bongo bado sana labda kama zle tetes za upunda ndio zilimlipa maana masogange alipokamatwa alitaja list nzima ya wasanii wanaobeba yeye akiwemo ndani
 
Ivi kwanza unajua maana ya bilioni??

Bilioni halafu unakaa madale Nyumba ya kupanga ukuta umejemgwa juu ya bomba la dawasco

Asubirie kwanza hasira ya jiji

Humu ndani huwa mnapost upupu sana

Ndo maana wakenya wanawaona kama vibwengo
Hahahahahah kwa hiyo wewe wakenya umewaona ndio mfano wa watu wa maana kwako alafu unamdharau Diamond!! Kweli dunia haiishi maajabu.

Nimeshakwambia maisha umeyakosea mwenyewe usimlaumu mtu unajitesa bure kuchukia watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…