warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Ni zamu ya Irene uwoya kutunukiwa tunzo ya u BOSS LADY apa bongo baada ya aliyekuwa akimiliki tunzo hiyo mwaka Jana wema sepetu kuangukia pua kama sio kichwa na kufulia , awali tunzo hyo iliwahi kumilikiwa na jackline wolper ambaye aliwahi kuwa na utajiri wa kutisha na baadae kufulia,sasa ivi unaambiwa irene ana mkwanja wa kutosha, ana miliki magari ya kifahari ambayo anadai kanunua mwenyewe, unaambiwa ivi sasa uwoya karudi kwa kasi, huku chanzo kikiaminika ni mwanaume aliye naye ambaye ana mkwanja wa kutosha.
Hivi karibuni Uwoya alikaririwa akisema kuwa hawezi kutaja kazi nyingine anayofanya na utajiri aliokuwa nao kwani wapo baadhi ya watu hawapendi kuona mmoja wao akiendelea ...Alisema kuwa pamoja na magari anayomiliki ya kifahari hawezi sema ni njia gani amepata utajiri huo.. Nimefanya Filamu kadhaa ambazo zimenipa hela na cha zaidi ni Jina ambalo limenifanya kupata Deals zingine zinazonipa Pesa..Jina langu ni Kubwa so lazima liendane na Mali ninazopata.. alisema Uwoya.