Ni zamu ya Irene uwoya kutunukiwa tunzo ya u BOSS LADY apa bongo baada ya aliyekuwa akimiliki tunzo hiyo mwaka Jana wema sepetu kuangukia pua kama sio kichwa na kufulia , awali tunzo hyo iliwahi kumilikiwa na jackline wolper ambaye aliwahi kuwa na utajiri wa kutisha na baadae kufulia,sasa ivi unaambiwa irene ana mkwanja wa kutosha, ana miliki magari ya kifahari ambayo anadai kanunua mwenyewe, unaambiwa ivi sasa uwoya karudi kwa kasi, huku chanzo kikiaminika ni mwanaume aliye naye ambaye ana mkwanja wa kutosha.
, Hivi karibuni Uwoya alikaririwa
akisema kuwa hawezi kutaja kazi nyingine
anayofanya na utajiri aliokuwa nao kwani wapo
baadhi ya watu hawapendi kuona mmoja wao
akiendelea ...Alisema kuwa pamoja na magari
anayomiliki ya kifahari hawezi sema ni njia gani
amepata utajiri huo..Nimefanya Filamu kadhaa
ambazo zimenipa hela na cha zaidi ni Jina
ambalo limenifanya kupata Deals zingine
zinazonipa Pesa..Jina langu ni Kubwa so lazima
liendane na Mali ninazopata..alisema uwoya.