Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
I love you too...
snipa anafikiri siku hizi bado mnavutiwa na zile swaga za rabamtoni na kuning'iniza SIMU kifuani mfukoni huna kitu teh teh teh
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtumieeeeer
I love you too...
snipa anafikiri siku hizi bado mnavutiwa na zile swaga za rabamtoni na kuning'iniza SIMU kifuani mfukoni huna kitu teh teh teh
Ahh narudi jmoc halafu nisijenogewa nikaacha kuhudhuria semina
I love you too...
snipa anafikiri siku hizi bado mnavutiwa na zile swaga za rabamtoni na kuning'iniza SIMU kifuani mfukoni huna kitu teh teh teh
Daaaa ! We nimekwambia Kwangu kila kitu utapata kasoro Roho yangu tu !
Mbona haunielewi we mwanamke ! Au unapenda sana mi na ,lusungo tukigombana ?
Mi sina tatizo dear naangalia tu nani mfuko wake umetuna zaidi. Si unajua kuwa mwenye kisu kikali ndio hula nyama!!
Namsubiri Aniambie anataka twende Dubai lini !
Sifanyi masyala sahizi !
Hahaha Dubai ya zenji or? Mi simtanii TATIANA Leo hapa hotel almanusura yule msanii amkane bwana ake kwa ajili yangu hiyo cologne tu naona Dada alidata