Utajiri wa maaskofu Tanzania: Gwajima tajiri no.1

Umeambiwa ana waumini elfu 70 hata kama elfu 35 kila mtu akatoa laki moja tu kwa mwaka ambapo ni sawa na sh 2000 tu kwa wiki hiyo si ni zaidi ya bilioni tatu na nusu?haihitaji great thinker kujua hili!


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Asitake kudanganya watu hapa!
Alipwe dola $2000 ye amekuwa papa mdogo??

HUYO POP MWENYEWE WA VATICAN HALIPWI HATA $200 kwa siku!

HUYU WAKIMCHOKONOA KIDOGO TU!
Mtakuja kuona vitu vya ajabu kabisa!

Kwani huyu ni kwanza kupata mali kwa wingi bila CHANZO KINACHOJULIKANA??

Time will tell. Wakati ukishafika. Hilo jipu lazima lipasuke.

Cc wabara
 
Last edited by a moderator:
wameitambua fursa...wakaitumia
 
As a Pastor,servant of God etc Hv is it abt bragging th thngs u own ama the number of people ur helping and preaching to about the word of God..?.#angalieni waumini..me ayo mawazo yangu tu
na ni kweli anakataa sadaka coins??heh,ht kwny bible tunasoma Yesu alimtaja mjane alietoa sadaka kdogo kabisa as the one alietoa nyingi kuliko wengine cz thts all she had...#angalieni waumini
 

Mkuu. Papa Francis halipwi kabisa. Yaani anaingiza Tsh 0 per moon.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu. Papa Francis halipwi kabisa. Yaani anaingiza Tsh 0 per moon.

Sasa huu si uongo mwingine tena!
Wanachofanya ni kulipia gharama zake zoote za maisha! Kula. Kulala.mavazi starehe zake zote na Safari zake.
Lkn hapewi mshahara!
Mkuu hata mimi kazini kwangu wakiniambia tutakugharamia kila kitu lkn mshahara hatukupi! Siwezi kukataa!

Its the same game. Just different tactics! !
Sasa nini tofauti ya anaelipwa mshahara na yeye inapokuja kwenye matumizi??
Si wote wanatumia kama kawaida?

Teh teh teh !
Hii dunia ma actors wako wengi Mno!
Mpaka vatican.!!
 
Gwajima noma, mtoto wake nlisoma nae HOPAC pale, ni balaa sana!
 

shule za kata mbaya sana, hujaelewa kiswahili?? 192 IS JUST A CASE, inatokea akienda nje

anategemea sadaka, misaada na chanzo kingine cha mapata ambacho ungeuliza kinatoka wapi

mkuu wewe ni mtanzania halisi
 
Dah im seechless ila walahi kwa kutumia common sense tu haingii akilini mchungaji akawa na mahela mengi kiasi hiki??
 
Kumbe kanisa biashara nzuri eeh? Kuna alie tayari tuwekeze pamoja?
 
Dah im seechless ila walahi kwa kutumia common sense tu haingii akilini mchungaji akawa na mahela mengi kiasi hiki??

Wanasema jamaa kuwa anauza magunia ya sembe kwa wingi! Na wanakondoo wengi wa huko nje wanampendea kwa hilo.
Teh teh teh teh!
 
Imani ipo wapi?

Kwenye unga wa sembe mkuu!
Yaani ukiipatia channell hio. Umeula!
Si unaona mwenzetu!!?
Mambo swaaaafi! Mpaka lije lisanuke. Yeye yuko mbaaaali!
Teh teh teh teh!
 
Kumbe kanisa biashara nzuri eeh? Kuna alie tayari tuwekeze pamoja?

Kwani ye kawekeza na nani? We fanya mwenyewe utajirike mapema, usitafute shareholders usijezilumiwa bure mamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…