Mugabonihela
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 306
- 1,784
- Thread starter
- #881
Ethical hacker huyu ni mtaalamu ambaye mara nyingi hutumia ujuzi wa IT ( information technology) au taaluma nyingine yoyote inayohusiana na masuala ya cyber security.
Kwenye vigezo vya kumpata ethical hacker ambae ni competent enough mara nyingi uzoefu pia una mata sana.
Jukumu kubwa la ethical hacker ni kuujaribu mfumo au kuchunguza weakness au madhaifu ya mfumo wa taasisi husika kwa vibali maalum toka kwa uongozi wa taasisi.
Kwa mantiki hiyo basi hawa ethical hacker mara nyingine huitwa authorized hacker kwa kuwa tu anafanya kazi zake kwa kuidhinishwa na wamiliki wa mfumo husika.
Kwanini hawa ethical hacker wana tafuta loopholes za mfumo husika, hapa hufanya hivi ili kugundua mianya inayoweza kutumia na wadukuzi haramu kama vile crackers au black-hat hucker. Ethical hacker akigundua mianya hiyo huongezea ulinzi kwenye mfumo husika.
Kwa ufupi sana huyo ndio ethical hacker au authorized hacker na wengine huita white-hat hackers. Kwenye term moja tunaweza kuwaita ni constructive hackers kwani kazi yao ya udukuzi hufanya kwa malengo ya kujenga zaidi na sio kihalifu kama ilivyo kwa black-hat hucker.
Mara nyingi hawa jamaa huajiliwa kabisa na taasisi kwa lengo la kuangalia mapungufu na matobo ya mfumo na sio kwa ajili ya wizi au matendo mengine yaliyokinyume na sheria na ndio maana wakaitwa Ethical hacker ( wanafuata maadili).
Baada ya Ethical hacker tumuone kiumbe mwingine ambaye ni hatari zaidi. Huyu bwana huitwa black-hat hucker au wengine humuita Unauthorized Hacker, yeye anaenda kinyume kabisa na wale jamaa wengine wanaoitwa Ethical hacker kwenye utendaji wao.
Unauthorized Hacker yeye huyu ni mwamba anaetumia utaalamu, ujuzi na uzoefu wake wote kuingia kwenye mfumo wa kompyuta (operating system) bila ruhusa ya mamlaka husika.
Mara nyingi hufanya hivyo kwa dhumuni la kuiba taarifa za muhimu na za msingi msingi zinazohusu taasisi lakini ni kwa manufaa yake binafsi.
Hawa Unauthorized Hacker ndio wadukuzi haramu kwa kuwa kile wanachofanya ni magendo na ni kinyume na sheria.
Hawa jamaa yaani Unauthorized Hacker mara nyingi hudukua mifumo either kwa manufaa yao binafsi au kwa niaba ya vikundi vyao maarufu kama cybercrime organization.
Licha ya hayo yote mara nyingine hawa jamaa utumwa na mataifa hasimu au maadui wa kati ya taifa moja na jingine au mashirika ya kijasusi na baada ya shughuli hiyo mara nyingi hulipwa pesa au aina nyingine zozote za malupulupu.
Basi sasa aina hii ya wadukuaji hawa wawili ndio tutaenda kuingalia hapo baadae kwenye simulizi yetu. Lakini pia kuna script kiddie ambae nae kutokana na muda tutamuangalia baadae hususani baada ya kukutana nae hapo Mbele.
Turudi kwenye simulizi yetu,
Niliutumia muda ule mfupi kujifunza mambo makubwa mawili ambayo niliachiwa na fatemeh kama assignment uku akiahidi kuja kunipa test ya kunipima kujua nimeweza ku Master mafunzo yale kwa kiasi gani.
Kikubwa nilichojifunza wakati huo ilikua ni njia za namna gani natakiwa kufanya ablution ( kujisafisha viungo) Lakini pia nilijifunza ni namna gani natakiwa kusali kwa vitendo.
Kwa mujibu wa fatemeh ni kwamba kwenye hizi hatua za awali kabisa mtu anapojifunza namna gani anapaswa kusali. basi kikubwa anatakiwa akalili vitendo tu kuhusu maneno gani unatakiwa kutamka kila stage ilo utaelewa baadae taratibu taratibu.
Baada ya kumaliza kupiga msuli wa kumeza zile hatua zote za kusali na ablution nilijiona tayari nimeshakua shekhe ata ile kanzu niliyoivaa niliona naitendea haki kabisa.
Baada ya hapo chap nilikimbilia kwa fatemeh aliyekua jikoni na alipo niona tu akanipa jagi la maji na kisha akanisogeza eneo lililotazama na bafu. Hapo ilikua ni test ya kwanza kuona ni namna gani nimekalili zile steps zote kuanzia kunawa mikono na mwisho kabisa miguu.
Baada ya kuonyesha hatua zile zote tena kwa ufasaha wa hali ya juu tulielekea kwenye meza ya chakula na hapo alianza kunipa ABC za namna gani siku ya kesho natakiwa ku behave ninapoenda kukutana na shahzad.
Fatemeh hakutaka kunipa simu kabisa, alichosema yeye nitapelekwa mpaka kwa shahzad ila wakati wa kurudi ni yeye mwenyewe ndie atanipitia ili kurudi nyumbani.
Sikujua kwanini hakutaka nitumie simu kabisa, nilihisi inawezekana ni baada ya mimi kuwasiliana na malugu ndio ilileta shida au kuna sababu nyingine ambayo mimi siijui.
Story zilikua nyingi usiku ule kuna muda nilitamani nisirudi tena bongo yana niendelee kukaa pale pale na fatemeh. Ata fatemeh nae alionekana kufurahishwa na uwepo wangu japo alishindwa kuliweka wazi swala hilo.
MIMI: When I get home I will miss you so much
( Nikirudi bongo nitakukumbuka sana)
FATEMEH:me too
( Ata mimi pia)
Fatemeh alijibu kwa upole sana as if ndio nimemwambia sasa naondoka na hapo nilithibitisha kuwa ikitokea nikaondoka basi nitamuachia simanzi sana.
FATEMEH: We've all been living for a very short time but I don't want you to leave
( Tumeishi wote muda mfupi sana ila sitamani undoke kabisa)
Wakati fatemeh ananiambia maneno haya sura yake ilikua ikionekana vyema kwa upole uliotawala sura yake.
Sikumbuki ilikuaje lakini tulijikuta tu mikono yetu imeshikana tukiwa pale mezani, n' you know what!!!!! We made a lot of deep kisses
Na mara nyingi tukiwa kwenye scenario kama hizi ni kama fatemeh anapoteza network kabisa, na ikitokea amerudi kwenye Normal situation ni kama anastuka na kujitoa kwangu kwa haraka mno as if kuna kitu anakizuia kwenye mwili wake.
Nikiligundua hilo mara kadhaa tunapokua kwenye hali kama hiyo.
Nikiwa bado nimemshikiria mikono ilibidi nimuulize swali moja ambalo hakulijibu kwa haraka kabisa.
MIMI: Why are you so shocked when we make kisses?
( Kwanini huwa unashtuka sana tunapokua kwenye kisses hususani deep kisses)
FATEMEH: I feel something stranger on my body
( Kuna hali ya ajabu hua nahisi kwenye mwili wangu)
Aliendelea fatemeh,
I have never felt this way in my life,
( Sijawahi kuhisi hivi kwenye Maisha yangu hapo kabla)
Mara hii alinisogelea tena yeye mwenyewe na akanikiss tena passionately na kwa utulivu wa hali ya juu ni kama kuna kitu alikua anakitafuta kwenye mwili wake au alikua anakitarajia kwenye mwili wake.
This time na mimi nili feel kitu cha tofauti kidogo kutoka kwenye midomo yake malaini, sijui ni kwakua alinikiss kwa utulivu mno na bila shuruti kama ambavyo mimi nafanya.
Maana mara nyingi mimi namkiss kwa timing yaani sio kwamba anakua amejiandaa kabisa. Hili kiss la safari hii tulitumia mda kidogo na kimoyomoyo Nikasema leo hatoki!!!!!!
Kama kawaida alishtuka, tena safari hii mshtuko ulikua mkubwa zaidi nahisi ni kutokana na namna alivyotulia na tulivyokiss mda mrefu kuliko siku zote hapo kabla.
Fatemeh alishindwa tena kuendelea kukaa pale kwenye meza ile ya dinning na hatimae alikimbia kuelekea kwenye chumba chake. Na bila kuchelewa nilimfuata maana nilijua akiingia ndani kinachofata ni kufunga mlango.
Wakati anaingia chumbani na mimi sikua mbali alikuta na mimi nipo ndani kitambo sana. Ila kiukweli alizidi kunichanganya kwani alifikia kulia tena kilio kile cha uchungu kilichoambatana na kwikwi.
Mpaka hapo nikaona mipango yangu kama imegonga mwamba kwani kwa hali yake nisinge weza kufanya chochote. Kilichofuata hapo ilikua ni kubembelezana japo sikua najua ata ni nini kina mliza mrembo huyo.
Nilimbembeleza akiwa kitandani mpaka alipopitiwa na usingizi mzito kifuani kwangu, lakini wakati amelala nilitamani sana kujua fatemeh anashida gani na kwanini hua analia sana kwenye hali kama ile. Na sio mara moja ni karibia mara zote, je ni kitu gani huwa anakihisi kwenye mwili wake cha tofauti. Je kitu hicho humuumiza au humpa furaha kwakweli nilikosa majibu kabisa.
Tukiwa bedroom ya fatemeh wote tulipitiwa na usingizi and for sure tulipiga usingizi mrefu kuwahi kutokea toka tumefika mji huo. Fatemeh ndio alikua wa kwanza kuamka na akajikuta nimemkumbatia katika namna ambayo asingeweza kutoka bila kuniamsha kwanza.
Na haikupita muda mrefu na mimi niliamka na nikakuta yeye akiwa macho lakini ilionekana hukataka kuniamsha na ni kama kuna jambo alikua akiliwaza sana wakati huo.
MIMI: good morning fet, why we slept a lot today
( Za asubuhi fet, mbona tumelala sana leo)
Fatemeh hakujibu chochote zaidi ya kuonyesha ishara ya kutaka nitoe mikono yangu kiunoni kwake ili anyanyuke.
FATEMEH: I have never slept like this before!!!! Anyway, get ready Shahzad will be waiting for you
( Kwakweli sijawahi kulala kama hivi, ila sawa tu jiandae shahzad atakua anakusubiri)
Unajua kipindi kile nilikua bado kijana mbichi kabisa wa miaka 24 hivyo bado nilikua na kale katabia ka kuamka asubuhi unakuta pipe imesimama iko high as f**** hahahah haha
Na hii hali mara nyingi ukianza majukumu ya kidunia hupotea kabisa, yaani ni mara chache sana kukuta baba wa watoto watatu tena Manager wa kampuni fulani huku unasomesha na wadogo zako eti umeamka asubuhi pipe imesimama we utakuwa na shida.
Hivyo basi nikiwa sina hili wala lile niliamka kutoka kitandani ndani ya shuka ila wakati nasimama fatemeh aligeuza shingo haraka sana kugeukia upande wa dirisha like kuna kitu hataki kukiona kabisa.
Baada ya kujiangalia ndio nikastuka aliona kitu gani ambacho kulimuongezea aibu mpaka akashindwa kuniangalia.
Kilichofuata baada ya pale nilieelekea kwenye room yangu kujiandaa huku fatemeh na yeye akijiandaa. Kabla haijaisha ata dakika moja nilirudi tena kwenye room ya fatemeh nikiwa na furushi la nguo zangu.
Haikuhitaji akili nyingi kuelewa ni nini kilikua kinaendelea pale, fatemeh alijua kabisa nimehamia rasmi sasa kwenye chumba chake.
Mdada wa watu hakuongea lolote zaidi ya kuelekea jikoni kutengeneza breakfast wakati huo mimi nilikua bize kujiandaa.
Baada ya muda alirudi tena chumbani na kunikuta, yeye mwenyewe ndie aliniandalia nguo za kuvaa siku hiyo na alifanya hivyo baada ya kujua nilikua na kanzu moja tu ambayo alinunua kama kutest kama nitapendelea kjivaa.
FATEMEH: I will buy you another one but today wear these
( Nitakununulia nyingine ila leo vaa hizi)
Sikuhiyo meku nilipiga Cadette nyeusi na t-shirt la form six ya kijivu, tena kwa kuongezea mbwembwe bidada fatemeh alifungua kabati na kutoa saa yenye brand ya Rolex ambayo anadai aliitoa India na hakuwahi kuivaa.
Asubuhi ilianza vizuri siku hiyo licha ya kwamba tulichelewa sana kuamka. Fatemeh yeye hakua tayari kutoka hivyo aliniambia niende ground usafiri wetu ni ule ule wa sikuzote nisipande gari nyingine.
Alinisindikiza mpaka mlangoni nikapigwa good-bye kiss na yeye akarudi ndani kuendelea na mishe nyingine zinazomuhusu. Pale ground bwana ile Toyota yetu nyeusi ambayo hatumjui dereva ilishafika muda tu na niliingia.
Sikuhiyo nikasema sifungi mlango mpaka dereva atoke aje kufunga mlango ili nimuone siunajua tena m'bongo ni m'bongo tu. Baada ya dakika 1 mbele mlango ulijifunga wenyewe hapo nikaona trial yangu imefeli next time nitafanya jambo jingine.
Tulifika nyumban kwa shahzad kama kawaida niikaribishwa kwa furaha sana na wanafamilia wale. Mbaya zaidi wengi hawakufahamu kingereza zaidi ya mjukuu wa shahzad na shahzad mwenyewe.
Shahzad alinikaribisha kwenye chumba ambacho kwa haraka nilijua kilikua ni maktaba ya nyumbani ambayo ilitumiwa na familia ile.
Kwenye kile chumba au maktaba ile kulikua na meza kubwa na pana, na kwenye meza ile kulikua na machapisho mbali mbali yamesambazwa..............
Ngoja nijitahidi kukatisha romantic scene za mimi na fatemeh ilitufike mapema kwenye lengo letu. Naona kama zinatupotezea muda mwingi.