Mugabonihela
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 306
- 1,784
- Thread starter
- #541
Fatemeh au Manuela kwa jina lingine alionekana mrembo zaidi wakati huu ukilinganisha na siku chache nyuma. Licha ya urembo huo lakini pia alionekana serious zaidi kuliko siku za nyuma.
Tukiwa tunaendelea na stories niliagiza kinywaji kilichofanana na kile alichokua anakunywa fatemeh. Licha ya mimi kumsifia fatemeh kama amependeza yeye pia alisema hakutarajia ningekua kwenye muonekano wa kuvutia kama alivyoniona hapo.
Fatemeh alienda moja kwa moja kwenye dhumuni kuu la kuniita mahali hapo, alidai yeye tayari ameshamaliza majukumu hivyo anatarajia kusafiri kurudi Tehran na ndege ya shirika la LATAM AIRLINES ili kuendelea na majukumu mengine.
Aliniambia ata mimi natakiwa kuondoka ndani ya muda mchache kwani Javier ana mtandao mkubwa angegundua uwepo wetu ndani ya huo mji kwa muda wa siku chache sana kuanzia siku hiyo.
Nilimwambia kama nilikua tayari kurudi nyumbani muda wowote kuanzia siku hiyo hivyo sikuweka pingamizi lolote kwenye safari yetu.
Niliona ile ilikua ni fursa ya kuuliza maswali mengi ambayo yaliniumiza kichwa yaki muhusu fatemeh (Manuela).
Swali la kwanza lilikua amejuaje details zangu zote kuanzia nilipotoka mpaka nimefika hapo
Jibu la fatemeh lilikua simple sana,
Ni kwamba taarifa zangu za awali zilitoka kwa McKenzie na nyingine zilitokea zilitokea kwa agent wa MOIS.
Hawa MOIS wenyewe walipata hizo preliminary information kutoka kwa McKenzie kisha wakazitumia taarifa hizohizo ili kupata taarifa za ziada na za uhakika.
MOIS ni kirefu cha neno MINISTRY OF INTELLIGENCE SECURITY, hiki ni kitengo cha ki inteligensia cha Iran pia hujulikana kama VAJA au SEVAK kwa miaka ya nyuma kabla utawala haujabadilika.
Kwanini MOIS waliamua kufuatilia taarifa zangu? Ni kwasababu walitaka kujua nimetokea wapi na asili yangu ni ipi, ili waone kama wanaweza pia kunitumia kufanikisha jambo lao.
Kwa maelezo ya fatemeh ni kwamba ndani ya mashamba yale hawachukui mtu from no where lazima wakala ajithibitishie taarifa zako kuwa hazitakua na madhara kwa drug Lord anae enda kukutumia.
Japo kwa bahati mbaya mimi mpaka natoka pale sikuwahi kumfahamu drug lord wa eneo lile zaidi ya kujua kama eneo hilo pia hutumika kama maficho ya baadhi ya wahalifu.
Hivyo basi mpaka siku ile McKenzie ameamua kunichukua ilikua ni baada ya kuulizia details zangu kwangu mwenyewe lakini pia kwa Ras ndipo aliopoona nafaa kwenda UHV (upper haullaga Valley).
Sasa basi MOIS walipataje taarifa zangu, hili swali nilirudisha kwa fatemeh ili anipe majibu ya kuridhisha.
Kwanza kabisa fatemeh alisema mpaka muda huo MOIS walikua tayar wamenufaika na mimi kwa kurahisisha zoezi lao. Hivyo jamaa hao wa MOIS tayari wananitambua in and out.
Swala la wamepataje taarifa zangu hakutaka kuniambia lakini point kubwa walitumia majasusi wao waliopo Africa na zaidi wale wa africa mashariki.
Kwenye story hizi na fatemeh nilibahatika bwana kujua tofauti iliyopo kati ya jasusi na shushushu,
Japo fatemeh hakuwa muwazi kwenye kila kitu ila nilichogundua ni kwamba jasusi mara nyingi anafanya kazi zake nje ya mipaka ya nchi yake.
Mfano unaweza kuwa mtanzania lakini unaishi Nigeria ukiwa unafanya upelelezi au uchunguzi wa masuala ya either technology, uchumi au siasa ya nchi hiyo lakini kwa maslahi ya taifa lako yaani Tanzania.
Ukiachana na jasusi kuna shushushu, yeye anafanya kazi zake ndani ya nchi husika havuki mipaka kabisa ya nchi yake. Hawa wanaweza kua makachero pia au askari wa kawaida tu anaweza kufanya kazi hii, mfano FBI wa marekani hapa wanaweza kuwa mfano mzuri wa mashushu huku CIA wakiwa ndio majasusi wenyewe.
Ukiona mjuba anatoka zake tegeta kibaoni anaenda kutafuta taarifa za kiinteligensia maeneo ya buza kwa lulenge au kwa mpalange huyo sasa ndio shushushu.
Lakin ukiona serikali inaingia cost kubwa kuhakikisha unaenda kutafuta taarifa kwenye nchi jirani either kwa heri au kwa shari huyo ndio atakua bwana jasusi sasa.
Hivyo basi mataifa mengi huko duniani uhakikisha wameweka watu wao maeneo yote duniani ambayo yanakaliwa na binadamu as long as kuna oxygen na watu wanaishi basi wana amini jasusi ata toka na chochote.
Hapa haijalishi unatoka nchi gani na unaenda kufanya misheni zako nchi, yaani anaweza akawa agent wa CIA na akaenda zake Sudan kusini na anaweza akawa agent kutoka Zimbabwe na akaenda zake USA kukusanya taarifa.
Hivyo basi umeanza kupata picha nikisema taarifa zangu za awali zilitoka kwa McKenzie lakini taarifa nyingi na za msingi zilitoka kwa ma agents wa MOIS waliopo ukanda huu wa Africa mashariki.
Kwa maelezo ya fatemeh ni kwamba MOIS walipajua mpaka nyumbani kwa mzee massawe waliijua mpaka hospital niliyozaliwa na ni wapi kilifukiwa kitovu changu (jokes)
(0623 329 512 Whatsapp)
Hii simulizi ina vipande viwili vigumu kidogo kuvielewa, kipande cha kwanza tumeshapita tayari nikile kipande kilichohusu vita mbili yaani roman-persian wars na WWII ugumu wa kipande hiki umesababishwa na matukio ya history ambaye nimejaribu kutuliza akili kuyaelezea.
Kipande cha pili kwa ugumu ni hivi vipande vinavyohusu haya mashirika ya kijasusi especially hili la MOIS usipotulia na penyewe unaweza toka mtupu.
Nisisitize tu kwenye hii simulizi kuna mengi ya kujifunza na mengi ya kuyajua.
TUPUNGUZE STRESS ZA DP WORLD ????
Au niwaongezee stress zaidi?
Ngoja niwaongezee stress, tafuteni origin ya Hutchison Port tafuteni origin ya DP world alafu tafuteni sababu za termination ya mkataba wa TICTS.
ahahahh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama hujaongeza stress nimekaa paleeee mniite andazi
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app