Utajiri wa Niffer unatisha! Anatembelea Range ya milioni 160

Dada zangu wakimuona basi wana stress, nao wakijaribu kuanza na mtaji wa biashara wa 40elfu hawatoboi....... masocialites wengi ni wauzaji ila wao ni expensive prostitute. Nicole mwenyewe anadai kilimo kimpa nyumba na magari......... wanazani watu hawajui. Ukitaka kujua story za hawa maslay Queens wa huko social networks waliojificha kwenye biashara, uigizaji na hata mziki. Watafute madereva wa taksi wa Airports hizi hasa za Arusha na Mbeya au wafanyakazi wa hotels kubwa hizo unapewa mafaili yote.

Kuna watu huko migodini Mbeya na Arusha, kuna uwezekano washamaliza hawa maslay Queens wote wanaotrend instagram.
 
Na mm nimeshangaa,
Kwamba hizo ndio mbinu pekee za kukufanya utajirike 🤣🤣🤣🤣
 
Unaamini K zina thamani hivyo?
Kwann hatuna matajiri kumi kama niffer waliotokana na uuzaji wa K
 
Unaamini K zina thamani hivyo?
Kwann hatuna matajiri kumi kama niffer waliotokana na uuzaji wa K
K zinakuwaga na thamani pindi binti awapo mbichi ila baaada ya muda umri kuenda binti hupoteza thamani na K hupoteza thamani na ndio kipindi matajiri huwagonga sana. Ila kuna matajiri hugharamia K mpaka 5mil,ukienda huko migodini mil 5 kwa wengine ni pocket money. Ila hizi hela zinazotoka na kuuza K wengi wao hawazifanyii chochote cha maana zaidi ya kuvaa nguo za brand kubwa,kumiliki simu kali,kupanga nyumba kali na kumiliki ndinga kali ila baada ya muda umri kuenda uzuri wote huanza kupotea na thamani ya K hushuka,mf Wema,Anti nk na hapo ndipo unakuja kujua maisha yao halisi.

Halafu husidanganyike na maisha ya instagram, kwani mara nyingi wanakuonyeshea vile wanavyo penda uvione,ila vile wasivyo penda ambavyo vinareflect maisha yao halisi hawawezi kukuonyeshea labda mpaka uwe na watu wa karibu wanao wafahamu.
 
Umejuaje kama ako na mashine mnato?
 
Tafuta hela mkuu
 
Huo sio utajiri wa kutisha karne hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…