Utajiri wa Niffer unatisha! Anatembelea Range ya milioni 160

Ni money laundering na kutwa huko twitter yeye ni kumsifia mama kizimkazi
 
U celebrity unatumika kama daraja tu. Wanatumika sana hawa

Wanatumika kwenye nini ?

Kama ni kwa kugongwa ndio chanzo cha utajiri wao nakataa.. hakuna mwanaume wa kuhonga milioni 100 kisa apate uchi wa niffer..

Kuna warembo kibao wanagongwa sana ila hawana hata biashara ya mtaji milioni kumi. Tena wazuri kweli kweli
 
Hili halina ubishi kuna jamaa ana deal na madini ni papaaa asa juzi juzi kaonga demu crown athlete....na nyumba kampangishia mwaka mzima ndani ya geti mtoto anakula upepo mwanana......

Ukienda viral mtoto kafunguliwa duka la vipodozi kama lote....... jamaa anapush range rover vogue nyeusi hizo sport light na fogs lights ni atari na vile vile ana mercedes fulani white ya moto sana πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kuna uzi ulikuwa na sauti yake akimfokea mfanyakazi wake na akasema anatoa mkuu.n.d.u (analiwa ndogo) kupata hela.

Bahati mbaya @mods waliufutilia mbali ule uzi haraka sana.

Naamini maneno mtu anayosema akiwa kwenye hasira yana ukweli 90%
Hiyo video imesambaa sana twitter
 
so unataka kusema nyuma ya pazia ni hyo elfu 40?? hyo tu??? hamna lingine?? yale yale ya shabiby kuanza na kuuza karanga leo ana bus nyingiiiii.jamani hiv mnatuchukuliaje
Afadhari huyo wa kuuza mazao kuna pesa nyingi.
Huyo dada utajiri wake unatakiwa umsifie but take it with a pinch of salt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…