Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kama wastaafu wanakuwa wazee wa hovyo hivi kukomalia mambo madogo namna hii, sijui wajukuu itakua namna gani
Hapo nae kakaa akisubiria heshima....nani wakumpa.... Story tu ana complicate kisa analifahamu eneo...halafu mtoa story hata hakusema ni ya mwaka gani...ila ndugu anataka uhalisia anao ufahamu yeye!
 
Wewe unataka kuhakiki yote hayo ya nini. Au wataka kwenda pia?

Tambua usemi wa Wahenga

HADITHI NJOO, UONGO NJOO, UTAMU KOLEA.

ukiondoa uongo kwenye hadithi umeondoa utamu.

Picha zote za action za kizungu utaona jamaa kamiminiwa risasi na kufa na unahuzunika jamaa kafa, hamadi movie inayofuata unamwona anaigiza kwa jina hilo hilo au lingine. Mbona halalamiki kuwa alikufaa? Sasa leo Chumbe ndio itusumbue hapa. Acha bhana utamu ukolee
 
Umeuliza ni mwaka gani yalimkuta hayo kabla ya yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…