Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mkuu hii ni stori tu Chumbe ni kisiwa kilikodishwa kwa mzungu miaka 99. Tokea enzi za Salmin Amour, sasa mtunzi alie kuwa hajafika zanzibar anajua kisiwa cha chumbe labda kama cha Tumbatu.๐Ÿคฃ
Yes indeed! Hii ni story... Na uzuri wake ni story ya ukweli!

Hivyo basi kuweka kumbukumbu sawa ni vema Master akafafanua vizuri kuhusu kwenda huko Chumbe!

Kumbuka zipo Chumbe mbili hapo Unguja...
 
Yes indeed! Hii ni story... Na uzuri wake ni story ya ukweli!

Hivyo basi kuweka kumbukumbu sawa ni vema Master akafafanua vizuri kuhusu kwenda huko Chumbe!

Kumbuka zipo Chumbe mbili hapo Unguja...
Kawaida mtunzi huweka neno stori ya kweli ili ipate wasomaji wengi ila huwa sio ya kweli. Lakini hufanana na kuwa stori ya kweli, hivi kuna Mpemba gani asie ishi na ndugu yake??

Wapemba na majini kama mchuzi na wali. Ndio maana ukienda Kariakoo au Ilala utaona nyumba za wapemba zimejazana kifamilia. Kwenye hela/uchawi Mpemba hachukuwi mtu wa nje ya familia yake hata siku moja.
 
Umesomeka.... Kwa maana nyingine Master hajawahi kufika Kisiwani Chumbe...!
 
Miss Lovelovie, umughaka si alisema ameenda mbeya, isije kuwa madam To yeye, yupo anamfundisha hesabu za accounting
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚We ndo umenambia huwezi amini To yeye me nmempgia simu nasikia mtu pembeni anaongea sauti ya kikurya.
Tena To yeye kaniambiaje ety nipo tu hapa kweny bar ya wakurya nkamwambia dada angu we na bar wapi wapi mbona nasikia mwangi hapo ulipo akakata simu akanitumia sms ety ntakupiga badae.

Nkasema mhhhh huyu kaka naona kahamishia majeshi kwa dada angu
 
Mpigie video call ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kileri mtu mbad ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hayo ndoo yale ya ingia WhatsApp kuja picha nmekutumia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ