Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Chizi Maarifa em njoo kwanza hapa.
Antonnia anakutafuta sana.
Ety kasema we ni mtu mkavuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Chonde chonde nawaomba msimwite huyo mwendawazimu atakuja chafua hali ya hewa hapa. Mwacheni maana akivuta mabangi yake huko akaja humu kutachafuka. Mwacheni please. Huyo hana akili...hafai.
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ Sis Mi Nasubiria akija nikae paleee niangalie muvi yenu aloo huwa namuonaga akikiwasha humu Alooooooohh!!
Antonnia please msimlete huyo chizi. Nadhani mamlaka imeingilia kati amezuiliwa au kapigwa ban. Ila alikuwa anachangamsha ingawa ni fala sana na ana mambo ya kidwanzi...
 
Chonde chonde nawaomba msimwite huyo mwendawazimu atakuja chafua hali ya hewa hapa. Mwacheni maana akivuta mabangi yake huko akaja humu kutachafuka. Mwacheni please. Huyo hana akili...hafai.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Chizi Maarifa ety hua unavuta msuba ww.
Mhhh unaubavu huo wewe.
 
Chonde chonde nawaomba msimwite huyo mwendawazimu atakuja chafua hali ya hewa hapa. Mwacheni maana akivuta mabangi yake huko akaja humu kutachafuka. Mwacheni please. Huyo hana akili...hafai.
Yanii mi mwenyewe memshangaa Lovelovie kweli! Eti kasema Chiz maarifa ni mkate tu yeye chai sijui anajiamini nini
 
Antonnia please msimlete huyo chizi. Nadhani mamlaka imeingilia kati amezuiliwa au kapigwa ban. Ila alikuwa anachangamsha ingawa ni fala sana na ana mambo ya kidwanzi...
Mi simoooooπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Huyooo kwa kuangalia muvi zake na watu humu namuogopaaπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚ akikuvaa utakoma!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…