Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Moderator wamemzuia asitoe mawazo yake katika huu uzi.... Tuombe aachiliwe naana alikuwa anachangamsha ingawa ana ukichaa wake.Mi simooooo🙌🙌🙌🙌 Huyooo kwa kuangalia muvi zake na watu humu namuogopaa😁😁😁😂 akikuvaa utakoma!!
Nimemuuliza anasema amenyimwa access kwenye huu uzi. Ili asimkosoe mtoa hadithi. Sema alikuwa anachangamsha sana.Antonnia please msimlete huyo chizi. Nadhani mamlaka imeingilia kati amezuiliwa au kapigwa ban. Ila alikuwa anachangamsha ingawa ni fala sana na ana mambo ya kidwanzi...
Weee hapa wamshikilie ivoivoooo!! Hakii akili yake ni chiz kweli kweli 😂🏃🏼♀️🙌Moderator wamemzuia asitoe mawazo yake katika huu uzi.... Tuombe aachiliwe naana alikuwa anachangamsha ingawa ana ukichaa wake.
Uwiiii alikua too much!! Anaonekana Anapenda ugomvi kweli!Nimemuuliza anasema amenyimwa access kwenye huu uzi. Ili asimkosoe mtoa hadithi. Sema alikuwa anachangamsha sana.
Khakhakhaaaa...R.I.P Uzi
Ndio basi tena Mkuu,amini nakuambiaKhakhakhaaaa...
Thanks,,, definitely
Unaogopa [emoji2]Ahaa nishampata huyo Huwa anamuongelea masta hata huko kwingine ! Mambo yake tumuachie mwenyewe asije akatupopoa nasie walai!!
Ndio😂😂😂😂! Aiseeehhh huyo akikuamulia Alooooooohh 🙌🙌🙌🙌!😂Unaogopa [emoji2]
Lakini Kuna ignore buttonNdio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Aiseeehhh huyo akikuamulia Alooooooohh [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]![emoji23]
Yeah itakua mods wakifatilia koments zake humu wakaona anastahili walichomfanyiaLakini Kuna ignore button
🤣🤣🤣🤣🤣 Unaweza kuta mtoto wa mama tu hana lolote....ananyonya kidole akiwa bored huku anachezea mapumbuh.....Mi simooooo🙌🙌🙌🙌 Huyooo kwa kuangalia muvi zake na watu humu namuogopaa😁😁😁😂 akikuvaa utakoma!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! ! kuchezea pumbuz😂😂😂! Nyie mi simooooh😁🤣🤣🤣🤣🤣 Unaweza kuta mtoto wa mama tu hana lolote....ananyonya kidole akiwa bored huku anachezea mapumbuh.....
Hiyo ni hadithi ndugu, maana ingekuwa ni kweli asingeianika hapa maana humu huenda Ally Mpemba yumo pia Jf.Ally mpemba amekuambia iwe siri yako
Hataki hizi habari aje kuzisikia nje
Wewe umeamua kuja kuzimwaga hapa jf
Master unafeli sana
Kumbe na huku upoEndeleeni kuparuana