Jinsi ulivyo tapeliwa hiyo 9M umenikumbusha nilivyompa mtu 500k aipeleke mahali nikampa na elf 15 ya nauli japo nauli ilikua hata elfu 3 inatosha kufika njian akaichezea kamari akaliwa yote alafu akanipigia simu kwa simu ya kuazima akanimbia "Bro naomba kama una elfu mbili nitumie nikifika huko tutaongea"
Nikamuulize hela imefika? Akanijibu usiwe na haraka bro we nitumie elfu mbili nije nikuelezee vizuri kwa simu hutanielewa.
Nilimpa jibu moja tu "usirudi nitakuua"
ipo ila kuna mzigo alitakiwa arudi naoKulikuwa hakuna Mpesa?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Sema jamaa alikua mwema pia, kakuachia mkewe kwa week 2
Barikiwa sana mkuu kwa kuniita,ngoja nianze kupita nazo saivMkuu mmash Glenn ,goroko77
Mko wapi jamaa lenu ameshusha vipande vyake vipyaa vya siku kuuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nishatimba mkuu 🙏
Mwanamke una gubu wewe!Mvua nguo ulale sasa,uliwe
Hili neno aisee, jamaa anastahili kura zetu.OUT OF TOPIC:
Tumpigieni KURA UMUGHAKA aweze Kushinda kwenye Mashindano ya Jamii Forum Entertainment. Hii ndo njia ya kumlipa kwa jinsi anavotuburudisha. Mpaka sshv tumepiga kura watu 14 tu, please Lets Support him.
Piga Kura kumchagua mwanachama bora wa JF Entertainment 2022
Katika kutambua umahiri wa baadhi ya wanachama, Jamii Forums inaendelea na mchakato wa kumpata mwanachama bora wa mwaka 2022. Tafadhali piga kura yako ili kumpata mwanachama bora wa mwaka 2022 kwenye Jukwaa la Entertainment. Kura zitapigwa kwa muda wa siku tano. Mchakato wa kupata majina...www.jamiiforums.com
Usirudie tena kutumia emoji nyingi namna hii zinaumiza macho vinginevyo ntakufungia kutumia jf kwa muda usiojulikana
Mambo DarlinYani wewe[emoji38][emoji38]
Deejay waleteeeeeeeMadem hawakuwahi kuwa sehemu ya maisha yangu katika utafutaji japo nimekuwa nao kadhaa ila huwa sitaki sana kusimulia mambo ya mademu,nikimaliza hii stori nadhani sasa nitaanza kusimulia ya demu wangu Shamima wa Tanga alivyo fanya nikafeli shule,humo kuna kila kitu na kama wewe ni mpenzi wa migegeduo basi utafurahi na roho yako,endelea kusubiri!
Acha Bwana wee..inakwaje unapokea jiwe tisa kila muezi afu unashindwa kusave hata M4 kwa mwaka?Dah! 1.3mil kwa miez 5 hongera sana mkuu
Wengine hyo tunaikusanya kwa mwaka mzima na wakati kwa mwezi tunaingiza laki 9
Ameshapita tayari aseme kingine, aya mkuu UMUGHAKA lete vitu when you’re availableTumpigieni KURA UMUGHAKA ili aweze Kushinda kwenye Mashindano ya Jamii Forum Entertainment. Hii ndo njia ya kumlipa kwa jinsi anavotuburudisha. please Lets Support him apate Moyo wa kuendelea kutuburudisha.
Piga Kura kumchagua mwanachama bora wa JF Entertainment 2022
Katika kutambua umahiri wa baadhi ya wanachama, Jamii Forums inaendelea na mchakato wa kumpata mwanachama bora wa mwaka 2022. Tafadhali piga kura yako ili kumpata mwanachama bora wa mwaka 2022 kwenye Jukwaa la Entertainment. Kura zitapigwa kwa muda wa siku tano. Mchakato wa kupata majina...www.jamiiforums.com
Mkuu,hawa waajiriwa wa mwisho wa mwezi alaf hana mishe yyte ya nje alaf kazi haina namna ya upigaji,900k haigawanyiki,,kama unabisha jaribu kupiga hesabu,Acha Bwana wee..inakwaje unapokea jiwe tisa kila muezi afu unashindwa kusave hata M4 kwa mwaka?
Kama yuko na familia ya watoto kwanzia wawili basi itakuwa ngumu kusave. Ila kama yuko pekee yake anaweza weka hata laki tatu kila mweiz mwaka uishe hakosi ata M3 au mbili point kadhaaMkuu,hawa waajiriwa wa mwisho wa mwezi alaf hana mishe yyte ya nje alaf kazi haina namna ya upigaji,900k haigawanyiki,,kama unabisha jaribu kupiga hesabu,
Mimi ni shabiki namba moja wa migegeduo. Unitag wa kwanza kabisa..Madem hawakuwahi kuwa sehemu ya maisha yangu katika utafutaji japo nimekuwa nao kadhaa ila huwa sitaki sana kusimulia mambo ya mademu,nikimaliza hii stori nadhani sasa nitaanza kusimulia ya demu wangu Shamima wa Tanga alivyo fanya nikafeli shule,humo kuna kila kitu na kama wewe ni mpenzi wa migegeduo basi utafurahi na roho yako,endelea kusubiri!
Ndo mchezo wako pendwa huo demiMimi ni shabiki namba moja wa migegeduo. Unitag wa kwanza kabisa..
Ndio mkuuNdo mchezo wako pendwa huo demi
Namna gani ya kupiga kura?Piga kura kijana stori ipo