Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Ushauri mzuri sana huu.. nikiwemo mimi atanipoteza kwa utaratibu huu
 
Umeandika kwa uchungu na hisia kali mnoo
 

N kweli
 
Inawezekana kwavile Umughaka alikuwa hajiusishi na wanawake sana kwahyo kibuyu kilikuwa kimejaa

Afu kwenye mgegedo hata ukilala na wale mademu wenye jasho kali linalonuka huwez kulisikia,utalisikia baadae akishaondoka pale unapobak peke yako
"Inawezekana kwavile Umughaka alikuwa hajiusishi na wanawake sana kwahyo kibuyu kilikuwa kimejaa"

HII UMEITOA WAPI? NANI ALIKUAMBIA? AU UNAHISI TU UNAANDIKA HAPA.
 
Cha ajabu wakati Master anaambiwa awe anachukua 50,000 ya kuhemea makabeji,Farah alianza kuuliza kuwa mbona kila siku unachukua 50,000 mnabiashara gani na Ally
Hapa aliuliza kwasababu hajawahi kuonana nae maana yeye alikua anayakuta tu makabeji hajui alienunua. Lakini hata siku aliyompita kwapupa hakumwangalia vizuri Ili amkalili lakini Sasa anamjua.
 


Asante sis niliiona ! Hapa masta kuleta nyingine sijui lini walai!

UMUGHAKA anatoa episode kila jumamos mchana , ana mambo mengi pia ya kufanya ..!! Ahsanteni
 
Kweli watu mmekuwa addicted na story Wengne mpk mnamshauri vizur umaghaka ili mradi atume tu πŸ˜€πŸ˜€ anyway nmeona mnamfananisha Farha na Maya hivi mnamjua umaghaka nyie Kuna story moja apa ya TULICHOMFANYA YULE MCHAWI ATAJUTA" Hii bwana tulijuaga dem wa emma ndio mchawi Kumbe watu wengne kabsa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…