Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Hata Amini siku atakapo poteza audience, maana sasa hivi amevimba kichwa kifala sana .itafika mahala tutampuuza Kama anavyopuuzwa mpwayungu village Nasoma tu heading nikiona mleta uzi ni huyo mpuuzi napita mbali mnooo
 
Nakazia, jamaa story zake ziko real

Sent using Jamii Forums mobile app

Na kama kitu kipo real huwa kinahitaji muda halafu watu wanatukana na kupaniki pasipo kujua mazingira ya mwandishi yako vipi. Jamaa ni Dereva wa bodaboda muda wa kutulia na kuandika ni mchache kutokana na nature ya kazi yake. Watu wanatakiwa kuwa na subira tu.
 
Hata Amini siku atakapo poteza audience, maana sasa hivi amevimba kichwa kifala sana .itafika mahala tutampuuza Kama anavyopuuzwa mpwayungu village Nasoma tu heading nikiona mleta uzi ni huyo mpuuzi napita mbali mnooo
Ifike mahali na nyinyi mkue kaa...yaani mtu aache shughuli zake afanye kazi ya kuwaandikia, nyinyi mnamlipa shilingi ngapi? Muacheni afanye mambo yake akipata mda atawaandikia episode mpya ukiona anachelewa acha kufuatilia sio lazima maana yeye hanufaiki na chochote wewe ukisoma.
 
Anaendeshaje boda boda na alfwata mkononi,yale yale ya is it possible
 
Hapangiwi na mtu kuhadithia...na sisi hatujamuomba aielete humu...

Kama alikuwa anaona hapati faida yoyote akahadithie ngedere porini...

Kama umeleta humu malizia...hutaki usilete kabisa...
Watu arosto zinawatesa sana ***** dadeq[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan mmekua mateja wa hadithi ya umugaka!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…