Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Yani Mimi wazee nimechoka kuitafuta hii story..
Nimeishiwa sehemu ya 17 lakini naona maoni naona watu wanasema wako ya 20 lakini siioni ...duh...noma nakutana na comments za kutosha....vurugu tupu[emoji853][emoji853]
 
Hakuna story nimeisoma kwa raha zangu kama hiyo iliyopita ya kutimuliwa home niliacha ikaishaa kabisa ila hii sijui kiherehere gani kimenikuta nikaanza kuisoma.
Hadi mm ile nilikuwa naweka na pause mimi nasema hapa ntaendelea kesho, lkn sio kwa ujinga huu naunga bando naingia hamna kitu bando linakata naweka tena hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…