Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Huyo boya unaembembeleza ni mfano halisi ya watanzania wengi wakishayapatia maisha. Huona weanzao mafala, maboya, na hawana akili kabisa isipokuwa wao
 
alafu kumbuka ni matukio ya miaka mingi nyuma,lazima urudishe nyuma kumbukumbu vizuri,ingekuwa ya kutunga angekuwa anatiririka tu..
 
Hakuna story nimeisoma kwa raha zangu kama hiyo iliyopita ya kutimuliwa home niliacha ikaishaa kabisa ila hii sijui kiherehere gani kimenikuta nikaanza kuisoma.
Mimi nilianza kusoma, wakati imefika sehemu ya kumi, nikajua nimeupunguza usiku, kwa kupanda kitandani saa tisa za usiku, kumbe hakuna nilichokwepa!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…