Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Hujawai kutumwa kuchukua hela ya mtu na kuipeleka bank? Mbona ni jambo la kawaida kwa wafanyabiashara wengi kulipiana pesa cash nyumbani na vijana waaminifu ndo hufanyaga hii kazi
 
Hujawai kutumwa kuchukua hela ya mtu na kuipeleka bank? Mbona ni jambo la kawaida kwa wafanyabiashara wengi kulipiana pesa cash nyumbani na vijana waaminifu ndo hufanyaga hii kazi

Anaropoka na kujidai mjuaji, watu tunabeba mpaka m 100 kupeleka bank yeye anashangaa m 40! Ujuaji ukizidi unabadilika kuwa upumbavu!
 
Ahahahaha, ukimbie na gari ya watu tena ya hela ya majini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] ndo lingewahi nifikisha maana muda huo sidhani kama miguu ingeweza timiza hitaji la mbio nilizo dhamilia, na nisinge sahau kuwasha AC [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…