Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Niliwahi kuwa team leader wa kampuni ya Airtel. Unayosimulia yote kuhusu kusajili line,footsoldier,gate meeting pamoja na kamisheni naamin kuwa haya unayosimulia ni kweli na siyo ya kutunga mzee
Endelea kususha episodes za kutosha.
Jamaa story zake zina ukweli, kule kigamboni dege eco village yupo sahihi.....

Hata kama katuwekea kachumbari ni tamuuu. Hajazidisha pilipili na chumvi
 
Niliwahi kuwa team leader wa kampuni ya Airtel. Unayosimulia yote kuhusu kusajili line,footsoldier,gate meeting pamoja na kamisheni naamin kuwa haya unayosimulia ni kweli na siyo ya kutunga mzee
Endelea kususha episodes za kutosha.
Ushaingia kingi na wee [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
ila nimegundua sehemu kubwa ya masimulizi yako umughaka,ni matukio ya kweli,yaani maisha uliyopitia,tofauti na wengi wanavyodhani,kama no kachumbari unaongezea kidogo sana,siku hizi za kimtandao hadithi za kutunga hazisisimui sana watu,sababu wanaona matamthilia makali,yaliyopangiliwa kwa ustadi kwenye tv channel,lakini mambo yaliyomtokea mtu kweli,siku zote husisimua tu...big up umughaka....
Sure mm nimejua ni ukweli kwa sehemu kubwa alipo ongelea deals za ujenzi na kibarua cha kusajili laini hajakosea hata kidogo process za kuanza hivyo vibarua hasa cha usajili wa lain ametembea mulemule..
 
Back
Top Bottom