Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mkubwa UMUGHAKA mbona kipindi kile huyo kiumbe ameshinda njaa na kapasua pasua glass kesho yake ulipomfungulia mlango hakutoka kwa fujo kama hizi au alijua kuwa ilikuwa ni bahati mbaya
Nimsaidie..ile siku alivunja vyombo alikuwa amefunguliwa kwa muda akakikosa chakula..sasa this time amefunguliwa muda usio wake na akawahi chakula maana kilikuwepo.
 
Naomba kila msukule abaki na imani yake,hii story kama UMUGHAKA kaitunga au kaitungua pahali atakuwa anajua mwenyewe

Kuna kasehemu hapo eti UMUGHAKA alipewa pesa million 40 apeleke bank sijuhi kulikuwa na umuhimu gani wa yeye ndio aipeleke bank wakati Ally Mpemba angeweza tu kutuma mamba za acc kwa yule dada pesa ikawekwa bila kuirisk mikononi mwa umukurya
Ujuaji
 
Hawa wapemba Wana kawaida ya kuchungulia nyota za watu akishaona nyota yako Ina mvuto basi anaanza kuwa karibu na wewe na kuanza kukusogeza Kwa mtego wa pesa na kazi za kupata riziki hapa na pale lakini Lengo ni kuiba nyota yako au kuitumikisha nyota yako Kwa manufaa yake.
 
Back
Top Bottom