Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Haya, story mpya inaanza. Uongo mpya umeshatungwa sasa ni muda wa kupokea.
Nashukuru sana kwa kuhakikisha unanifuatilia kila siku upo na mimi,wewe ni shabiki yangu mkubwa wa simulizi zangu ingawa unataka uwe kama mimi lakini huo uwezo huna,kuandika ni kipaji kinachotoka kwa Mungu,hivyo endelea kuwa shabiki yangu hakuna namna[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jibu mujarabu mkuu[emoji1787][emoji1787]
Endelea kutupa shuhuda za maisha, kupitia shuhuda hizi tunajua mengi. Lengo ni kujifunza, uzuri hujahamasisha watu kwenye upuuzi Bali umeonyesha vile watu wanapitia mengi magumu huku nje wakionyesha Wana Utajiri mwingi huku ndani yao wanapitia mateso mengi.
 
Oya mtaalam acha hizo. Nakuonaga sana unauliza jins ya kupata mtaalam wa kukupa utajiri ila hujmpata.
Kwa kuchambua tu naona una hasira sana na umuaghaka jins alivoamua kuacha hela ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Daaaah!,mambo ni makubwa!,Kama anataka utajiri kwanini asiseme nimuunganishe na watu?


[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Humu kuna baadhi ya watu ni wagonjwa wa akili. Kupitia maandishi yao utagundua kuwa zilishafyatuka tayari, japokuwa wao wanaweza kuwa wananajiona wana akili timamu kwa kuwa wanamiliki simu na wanaweza kuingia JF na kumwaga upupu.
 
Mimi hata kesho naweza kurudi,simulizi ninazo mbili nzito,ila tatizo siwezi kutumia muda wangu bure + bando langu halafu mapumbavu yasiyokuwa na mbele wala nyuma kutwa ni kunitukana mkuu,bora hata yangekuwa yanakosoa najua ni sehemu ya kazi ila yenyewe yananitukana kana kwamba yananinunulia bando na kunifidia muda wangu,huu ujinga sitaki kabisa kuufanya sasa hivi!,na mimi ni bora niwe mtazamaji tu hapa JF

Tatizo mkuu simulizi zako nzuri ukipitisha siku hujatupia episode watu tunamind tunasahau kua una majukumu na unahitaji muda pia, ubinadamu kazi.
 
UMUGHAKA, BM X6, Konnda msafi na wengine ni miongoni mwa waandishi Bora sana hapa JF, ila wakubali tu na kuamini kuwa humu jamvini hawawezi kukubalika na watu wore. Kama manabii wa Mungu walipingwa, wao ni kina nani?? Wasonge mbele sisi tunakubali KAZI zao na Mungu awabariki.
 
Back
Top Bottom