Utajuaje kama huna nafsi au umeuza nafsi

Yesu alikuwa anafanya meditation pia. Nini maoni yako kuhusu Hilo?

Hakuna mstari wa biblia unaothibitisha moja kwa moja yesu alifanya meditation ndio mana wakristu hawana huo utamaduni. Meditation ni zao la eastern religion kutoka india na mchanganyiko wa Yoga. Kama yesu alifanya meditation kanisa katoliki lazima wafiasi wake wangejua na kufanya pia kwani ndio kanisa lenye nguvu ma ndio waliomdika bible.

Nilianza kupata wasiwasi juu ya meditation baada ya kuambiwa ni kitu kizuri ila nilipo jaribu ilikiwa ngumu sana na baada ya kujaribu sana siku moja sijui ndio ilifanikiwa lakini nilipata sleep paralysis kama nimeganda nisijue kusogeza hata mkono nikahisi kuna kiumbe kinataka kuniteka. Ndipo nikagundua siri za meditation.

Nilianza kupata mashaka sana juu ya meditation ndipo nikaanza utafiti wangu. Nigagundua meditation ni agenda za new age religion ambapo ni mafundisho ya secret Cults iliupate kujua usiyo yafahamu kama remote viewing and chameling of spiritis.
 

Meditation sio kwa watu wote ni kwabaadhi ya watu. Meditation ni utamaduni wa dini za kihindi ukihusisha mambo ya Yoga. Utaratibubwa dini ya new age ni pamoja na mafundisho ya meditatition. Kwa mtu mwenye nafsi moja au mwenye mungu ndani yake meditation sio kitu sahihi kwake kwani hawezi kuchukuliwa.

Meditation ilianza kuvuma na kuenea kuanzia miaka ya 80 ambapo madawa ya kulevya kama bangi, lsd, na mashroom vilitumika kama ishara ya kutuliza nafsi ya mtu ili kuweza kummunganisha na viumbe wa dimensions nyingine.

Ndio mana meditation inaendana na madawa ya kukevya kama bangi nk ili kumoa mtu uwezo wa kufikia hiyo state of altered reality. Meditation ni nzuri kwa watu ambao hawana nafsi. Ila kama wewe una ile sauti ya chini ndani yako sikushauri juu ya meditation kwani sio kwa ajili ya watubwote ni kwa baadhi ya watu tu hasa souless being Au NPC ndio utamaduni wao.
 
kinagoma kufunguka mkuu

 
Atheism Katika Ubora Wako Ningependa Unijibu Mawsali Haya

1 Umesema Kuanzia Miaka Ya 2000 Ndipo Reincarnation Of Soul Ilianza Kutoka Miaka Ya 1800 Unaweza Kuthibitisha Kama Kuna Reincarnation?

na mimi niongezee hapo, kwanini ni baada ya miaka ya 2000 na sio 1900 au 3000 maana utumwa ulitukia miaka mingi nyuma na hizo vita za dunia?
 

naamini katika nguvu ya mtu ya ndani, ukiweza kuControl mawazo yako na nafsi….hizo tiba za chumvi na mbadala ni fictions tu.
 
Nakuunga mkono kwenye mtizamo wako binafsi juu ya mafundisho ya meditation kuwa na connection na mambo ya upotoshaji wa kiroho maana binafsi pia nimefanya utafiti katika hilo na nikaambulia kujua kitu similar na matokeo yako.

Ila nina maswali machache yakukuuliza kulingana na nyuzi zako upi ni mlengo hasa wa dhamirio lako/maudhui yako kwa jamii maana kuna sehemu kadhaa unajichanganya.
Je, wewe ni mfuasi wa mafundisho ya namna gan au unaamini katika itikadi ipi?

1. Katika uzi wako huu kigezo kikuu cha kutokuwa na nafsi ni kukosa internal dialog,
Je una uhakika gan kuwa kuna mtu huwa hana hiyo internal dialog hapa duniani? Hasa anapofanya maamuzi katika kuselect mf kununua kitu,kujaribu jambo jipya,kufanya jema au baya, kufikiria na kuwazua mf tunaona wengine mpk midomo inachezacheza wakizungumza wenyewe barabarani,n.k
Je, huoni kama ukikosa kigezo iko upaswi kuwa mwanadamu maana utakuwa ni roboti maana hicho unachokiita internal dialog(akili inapofikiria au kujiuliza,kujipinga na kujijibu pasipo kinywa kutamka) ndiyo utufanya binadamu tuwe timamu na kwa hili hakuna binadamu asiyelifanya kila nukta inayotiki.

Mf. eti ukiwa na roho mbaya,moyo mgumu, usiyejali hisia za wengine(mbinafsi au katili),asiye na hisia dadisi mf unapocheki muvi basi huna internal dialog na hivyo huna nafsi. Je kuna logic juu ya unachokisema?

2. Katika uzi wako wa New Age: Dini mpya.. nimekuquote ukidai kuwa wakirsto na waislamu ndo pekee umwamini Mungu wa kweli na aliye hai. Vipi una ushahidi gani madhubuti wa kuthibitisha hili?

Katika uzi wako huu unasimama na kigezo cha reincarnation kuwa na usababishi.
Katika uzi wako wa New Age umetumia mstari kutoka (Ebr 9:27) kuwa reincarnation si kweli nakuamini mambo hayo kuwa yapo ni upofu. Swali sasa tushike lipi kutoka kwako?

3. Katika uzi wako wa Royal bloodline: Damu takatifu, unatuaminisha juu ya uwepo wa koo 13 na familia zilizobarikiwa au hao wateule, nakuendelea kwako kutupa mafunzo ya siri yakina draco,annunak, nebiru,nyota orion, Mwafrika ni bora kuliko race ya mzungu,utofauti kati ya devil na lucifer, kuumbwa kwa binadamu na aliens wa dimensions n.k ambayo ni mafunzo ya New Age ya hawa akina illuminati na katika temple za kimasonia mf. ni kule FB tunazo page za kina Lord krishina lucifa n.k na mahubiri yao ni haya haya.
Swali ni je, wewe pia nimuamini katika mafunzo haya ya siri? Au pengine una lengo tofauti unapotuletea bandiko lako hapa jamii intelligence?
 

Swali zuri mkuu na asante kwa kufatilia mada zangu. For long period of time i was asleep and now baada ya kupata baadhi ya maarifa nimekuja kugunduq mengi sana.

Dhamira au mlengo wangu ni ukamilifu/ perfection. Mfano wq ukamilifu/ perdection ni God the Most High. Biblia na Qurani watu wanavichukuliq ni vitabu takatifu. But ni vitabu vinavyotumiwa na shadow goverment kutawalq watu. Vitabu hivyo vya dini vimechanganya mungu wawili sehemu moja.

Mfano wqmechanganya dark lord (shetani) na The Most High (light). Love and fear ni mungu wawili ambao wanawafuasi wengi hapa duniani. Mungu hao wawili wanaabudiwa na watu kwa wakati mmoja bila wao kujua. Vitabu vya Dini hizo zimetegeneza fear au hofu na kuvhanganya upendo au love ndani yake. Hilo ndio kosa.

Kama unapenda ukamilifu chagua upande mmoja kati ya love and fear. Usifanye jambo zuri kwa kitegemea kulipwa mbingu au usifanye jqmbo baya kwa hofu ya kwenda motoni. Ukifanyq hayo unakuwa kondoo unayepewq mqlisho na mwindaji alafu siku moja aje kukuchinja.

Kujichanganya ni kitu sahihi sana kwatika njia ya kupata maarifa kwani confussion leads to clarity. Lakini point ya maingi kuhusu mlengo wangu ni kujaribu kualimisha baadhinya watu wangu vita iliyopo kila mahali kati ya mungu wawili ambao ni shetani upande wa negative energy na the mist high upande wa positive energy. Kuhusiana na kukosa interna dialog ni kweli kabisa G. Gurdjieff ni mmoja kati ya philosophers wachache walioweza kutoa siri za ocxult world kwa watu wa kawaida fatlia kazi zake mfano hapa namnukuu

“A considerable percentage of the people we meet on the street are people who are empty inside, that is, they are actually already dead. It is fortunate for us that we do not see and do not know it. If we knew what a number of people are actually dead and what a number of these dead people govern our lives, we should go mad with horror.” G.I Gurdjieff

Vile vile kuhusiana na watu ambao hawana internal dialog walisha gunduliwa toka mwanzo na
– Rudolf Steiner. Hawa ni wale philosophers ambao hufundishi darasani ila wapo ngoja nimnukuu katika moja ya essay zake kuhusiana na watoto wanaozaliwa bila nafsi katika circke ya reincarnation

“Dr. Rudolf Steiner: That little girl L.K. in the first grade must have something really very wrong inside. There is not much we can do. Such cases are increasing in which children are born with a human form, but are not really human beings in relation to their highest I; instead, they are filled with beings that do not belong to the human class. Quite a number of people have been born since the nineties without an I, that is, they are not reincarnated, but are human forms filled with a sort of natural demon. There are quite a large number of older people going around who are actually not human beings, but are only natural; they are human beings only in regard to their form. We cannot, however, create a school for demons.

Kwamba watoto wengi wanazaliwa bila an “I” hiyo ndiyo soul au nafsi.

A teacher: How is that possible?

Dr. Rudolf Steiner: Cosmic error is certainly not impossible. The relationships of individuals coming into earthly existence have long been determined. There are also generations in which individuals have no desire to come into earthly existence and be connected with physicality, or immediately leave at the very beginning. In such cases, other beings that are not quite suited step in. This is something that is now quite common, that human beings go around without an I; they are actually not human beings, but have only a human form. They are beings like nature spirits, which we do not recognize as such because they go around in a human form. They are also quite different from human beings in regard to everything spiritual.

Kama hujaelewa niulize tena tu discuss pamoja ili twende sawa.
 
Baada ya kusoma ishu za meditation huku JamiiForums nikataka na mimi niijaribu.
Sitosahau ile siku, nilihisi kuchanganyikiwa kabisa na Ilinichukua karibu wiki moja kurudi kwenye hali yangu ya kawaida.
 
Hebu tutajie mfano wa tabia za vijana wengi wa Siku hizi ambao hawana nafsi

-pili kama MTU anaumwa shida Fulani mwilini lakini haina tiba kuna njia ya kuireverse?
 
Nianze kwa kukubalina na wewe kuwa ni kweli binadamu ana sehemu tatu,Body,Mind na Spirit. Lakini hakuna uwezekano wa mwanadamu kuzaliwa bila nafsi. Kimsingi binadamu ni spirit yenye soul na inaishi ndani ya body.Chenye uwezo wa kusimama peke yake ni Spirit na sio soul wala Body. Kwa hiyo ni impossible kwa mwanadamu kuzaliwa bila soul otherwise huyo ni creature wa aina nyingine na sio binadamu.

Soul inadeal na mambo makuu matatu,Emotions,Will and Mind.Binadamu wote wana hisia ambazo zinaweza kuwa Hasira,furaha,amani,wasiwasi,woga nk.Bila nafsi ni impossible kufeel hizi emotions.Lakini pia kila binadamu anamaamuzi au machaguzi yake whether anayaonyesha kwa watu au lah.Hii ndo tunaita will hata kichaa anachagua kuacha jambo moja na kuamua kufanya lingine.Binadamu wote wanahuu uwezo na hawawezi kuupoteza.Lakini pia kila mwanadamu anauwezo wa kuthink logically,kutunza kumbukumbuku za matukio ya awali nk.Hii ni uthibitisho wa uwepo wa Mind.

Kwa hiyo its impossible kwa binadamu kuexist without soul.Soul and spirit always exist together. Kuna material mengi sana outthere lakini material mengi hayanaga ukweli especially material yanayodeal na Mambo ambayo ni Immaterial.Choose your materials wisely.
 
Watu wengi siku hizi wanaokoteza maarifa ambayo watu wameyapotezea kwa sababu ya upotofu wake,wanayaweka kichwani na kujihesabia kuwa wamefumbuliwa macho kitu ambacho sio cha kweli.

Watu wanawekeza muda kusoma conspiracies na fiction kabla ya kuinvest muda na resources kusoma vitu ambavyo vipo accepted na jamii yote kwa ujumla.I advocate watu kuwa watafiti lakini jua kwanza mazingira yanayokuzunguka kwa undani kisha jifunze yale ambayo unahisi ni muhimu kuyajua lakini hayajawekwa bayana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…