Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Katika jamii zetu, kumekuwa na mijadala ya hapa na pale, kuhusu vifo vya binadamu.

Kuna wengine watasema, huyu amekufa kutokana na mpango wa Mungu, na wengine watasema yule amekufa pasipo mpango wa Mungu (kishirikina).

Sasa wakuu, nataka kujua; Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?​
 
Tambua wanaokufa kwa ushirikina ni Afrika tu. Siyo kwenye mabara mengine. Hapo ndipo pa kuanzia.
 
Utajuaje sasa; kuwa huyu ni wa ushirikina na huyu ni kifo cha kawaida?

Karibu Afrika:

IMG_20220914_180443_804.jpg

Ngoma Iko hapo. Tunasumbuliwa na ujinga tu tokea juu hadi chini.

Kumbuka ushirikina haufanyi kazi benki au polisi.
 
Back
Top Bottom