Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?

Utajua kwa kumpeleka hospital na kupimwa na kufanyiwa postmortem ili kubaini chanjo cha kifo

Kwa sisi waafrika ni ngumu kujua huyo kafa kwa njia gani maana utasikia tu watu wanalia na kugaragara nje kumbe wamemuua mzee usiku
Baada ya mda wanaanda mazishi na sisi tunajisogeza ila police na hospital hakuna anaejali

Nchi zingine mtu akifa tu unapiga simu police na Ambulance inakuja maiti inabebwa kuchunguzwa

Ingekuwa kwetu wengi sana waaliogawana mirathi wangeumbuka sana paka hao
 
Katika jamii zetu, kumekuwa na mijadala ya hapa na pale, kuhusu vifo vya binadamu.

Kuna wengine watasema, huyu amekufa kutokana na mpango wa Mungu, na wengine watasema yule amekufa pasipo mpango wa Mungu (kishirikina).

Sasa wakuu, nataka kujua; Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?​
Ushikina utakuta mavi, mate na kila aina ya uchafu. Kwasababu ya kuwa forced.. Ila kwa mapenzi ya Mungu mtu anakufa smooth 🤠🤠
 
Swari nzuri,. Maiti ya kweli ukivuta nywele zake zinanyofoka kirahisi Yaani bends mpaka kwene kichwa cha marehemu then vuta nywele zake zitang'oka kirahisi kama unavyonyonyoa kiki, kinyume na hapo sio maiti ya kweli, Asante.
 
Utajua kwa kumpeleka hospital na kupimwa na kufanyiwa postmortem ili kubaini chanjo cha kifo

Kwa sisi waafrika ni ngumu kujua huyo kafa kwa njia gani maana utasikia tu watu wanalia na kugaragara nje kumbe wamemuua mzee usiku
Baada ya mda wanaanda mazishi na sisi tunajisogeza ila police na hospital hakuna anaejali

Nchi zingine mtu akifa tu unapiga simu police na Ambulance inakuja maiti inabebwa kuchunguzwa

Ingekuwa kwetu wengi sana waaliogawana mirathi wangeumbuka sana paka hao
Kama aliugua ndani ya muda mfupi, hata wakifanya uchunguzi si watasema amekufa kwa ugonjwa?
 
Kama ni ugonjwa watasema na kama alinyongwa watamuona na kama kapewa sumu pia itajulikana

Wapo wanaouwawa na inapita kama alikufa ghafla ooh moyo tu umesimama

Ila kungekuwa na utaratibu wa kupeleka maiti hospital kwanza
 
Katika jamii zetu, kumekuwa na mijadala ya hapa na pale, kuhusu vifo vya binadamu.

Kuna wengine watasema, huyu amekufa kutokana na mpango wa Mungu, na wengine watasema yule amekufa pasipo mpango wa Mungu (kishirikina).

Sasa wakuu, nataka kujua; Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?​
Hakuna mtu anaefariki kwa mpango wa mungu wala kwa ushirikina.
 
Uhakika hupatikana tokea kwenye udadavuzi thabiti.

Jiulize kwanini haupo ushirikina Ulaya, Canada, Marekani au Japan huko ila dongo beshi?

Nikutoe shaka ndugu, kumbatia ushirikina kwa ujinga wako.

Habari ndiyo hiyo.
We Jamaa ni mongo sana, wazungu Wana mavitabu kibao yanayozungumzia uchawi , Sasa we kutoka idugumbi unajidai mjuaji kausha mzee, wazungu Wana tatuu kibao za kujikinga na uchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swari nzuri,. Maiti ya kweli ukivuta nywele zake zinanyofoka kirahisi Yaani bends mpaka kwene kichwa cha marehemu then vuta nywele zake zitang'oka kirahisi kama unavyonyonyoa kiki, kinyume na hapo sio maiti ya kweli, Asante.
Mkuu, kitu gani kinachofanya nywele kuwa laini kwa maiti na kunyonyoka kirahisi? Kwa sababu kwa hali ya kawaida, nywele zinakuwa zimeshikana na kichwa na ningumu kunyonyoka.
 
Karibu Afrika:

View attachment 2356855

Ngoma Iko hapo. Tunasumbuliwa na ujinga tu tokea juu hadi chini.

Kumbuka ushirikina haufanyi kazi benki au polisi.
Ushirikina ungekuwapo, ungefanya kazi benki au polisi, kama unabagua maeneo ya kufanya kazi, ushirikina gani huo?

Kuamini ushirikina ni ujinga uliopitiliza, watawala wengi Afrika wanapigia chapuo imani hizi ziendelee, zinasaidia sana kwenye kutawala.
 
Back
Top Bottom