Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?

Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?

Kama ni ugonjwa watasema na kama alinyongwa watamuona na kama kapewa sumu pia itajulikana

Wapo wanaouwawa na inapita kama alikufa ghafla ooh moyo tu umesimama

Ila kungekuwa na utaratibu wa kupeleka maiti hospital kwanza
Sijajua, kama kufanyiwa uchunguzi hospitali, kwa macho yetu haya ya nyama, tunaweza kutoa majibu tofauti.
 
We Jamaa ni mongo sana, wazungu Wana mavitabu kibao yanayozungumzia uchawi , Sasa we kutoka idugumbi unajidai mjuaji kausha mzee, wazungu Wana tatuu kibao za kujikinga na uchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
Buza kuna warusi. Wewe ni mmoja wa wazungu wa Buza?

Zingatia watu hawafi kwa ushirikina Marekani, Canada, Japan wala Ulaya.

Huko siyo kwenu Buza.
 
Inaniumaga Sana kuona mtoto kuondoshwa bila kutimiza alichoandikiwa.
Najiuliza wanaposema kila mtu ana kusudi la kuumbwa. Iweje vichanga vifariki au viliumbwa kufa ?
 
Uhakika hupatikana tokea kwenye udadavuzi thabiti.

Jiulize kwanini haupo ushirikina Ulaya, Canada, Marekani au Japan huko ila dongo beshi?

Nikutoe shaka ndugu, kumbatia ushirikina kwa ujinga wako.

Habari ndiyo hiyo.
Kukimbilia kumuita mtu "mjinga" kisa tu yupo tofauti na wewe kimtazamo ni uchanga wa ushiriki mijadala.
Hizo nchi ulizozitaja umewahi kuishi?
Ushirikina ni nini?
 
Tupe elimu mkuu
Ushirikina haupo, wala mungu hayupo. Ila sisi viongozi tunapenda muendelee kuamini hivyo, inaturahisishia kuwatawala, sehemu tunazoshindwa kutimiza wajibu wengi, tutasingizia kwamba ni mungu au shetani, kesi itakuwa imeisha.
 
Kukimbilia kumuita mtu "mjinga" kisa tu yupo tofauti na wewe kimtazamo ni uchanga wa ushiriki mijadala.
Hizo nchi ulizozitaja umewahi kuishi?
Ushirikina ni nini?

Utakuwa umeshindwa kuelewa hoja.

Hoja ni kuwa ushirikina ni chimbuko la ujinga. Muumini katika ushirikina atakuwa na jina lipi basi la kumwakilisha?

Zingatia ujinga si tusi.

Kushindwa kuliita koleo kwa jina lake hakusaidii kitu ndugu.

Koleo ni koleo siyo kijiko kikubwa.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Stage zikoje?
Hadi roho inatoka kwa mtu huwa sio siku hiyo hiyo. Kifo ni mchakato ( mtu huanza kufa rohoni) kabla ya manifestation mwilini. Kifo kikiwa katika ngazi ya rohoni unaweza deal nacho, na pia kikiwa kimefika katika mwili kabla nafai yake aijawa dominated na ulimwengu mwingine pia unaweza mrudisha, ila tu nafsi ikiensa katika ulimwengu mwingine imeisha hiyo
 
Kwa hiyo, kama mtazika, hakutokuwa na ishara zozote?
 
Katika jamii zetu, kumekuwa na mijadala ya hapa na pale, kuhusu vifo vya binadamu.

Kuna wengine watasema, huyu amekufa kutokana na mpango wa Mungu, na wengine watasema yule amekufa pasipo mpango wa Mungu (kishirikina).

Sasa wakuu, nataka kujua; Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?​
Magufuri alikufa kwa mpango wa Mungu baada ya kuitawala Tanzania kidikteta kwa muda wa miaka mitano na kupora chaguzi za 2019 na 2020
 
Back
Top Bottom