Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #101
Je anakuwa amekufa kabisa au kuna sehemu atakuwa amefichwa kimazingaombwe?Ilimradi kafa na kila mtu atakufa hamna haja ya kutafuta sababu maana hutamrudisha..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je anakuwa amekufa kabisa au kuna sehemu atakuwa amefichwa kimazingaombwe?Ilimradi kafa na kila mtu atakufa hamna haja ya kutafuta sababu maana hutamrudisha..
Nani anayepanga?Kifo sio mpango wa Mungu wala hafurahii watu wanapokufa..
Eze 18:32 “‘Mimi sifurahii kifo cha mtu yeyote,’ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova. ‘Kwa hiyo geukeni na kuishi.’”
Mimi hayo mambo hata siyaamini..Je anakuwa amekufa kabisa au kuna sehemu atakuwa amefichwa kimazingaombwe?
Wachawi lazima mje mkanushe ili watu wasitambue ujinga wenuHakuna kifo cha ushirikina mkuu...ni basi tu jamii zetu zina baadhi ya mambo zinakumbatia hayana maana...mi binafsi siamini kama uchawi upo.
1. Kwa ujumla muuaji mkuu ni shetani tangu edeni alipowadanganya Adamu na Hawa alifanya wanadamu wote waanze kufa tangu wakati huo ...Nani anayepanga?
We huko unaposema umewahi ishii hukoTambua wanaokufa kwa ushirikina ni Afrika tu. Siyo kwenye mabara mengine. Hapo ndipo pa kuanzia.
Hahaha bila kusahau ubalozini kwenye kuomba visaKaribu Afrika:
View attachment 2356855
Ngoma Iko hapo. Tunasumbuliwa na ujinga tu tokea juu hadi chini.
Kumbuka ushirikina haufanyi kazi benki au polisi.
Hivi wanaokufa kwa ajali papo hapo au kupigwa risasi za kichwa nao huwa wanapitia hayoHadi roho inatoka kwa mtu huwa sio siku hiyo hiyo. Kifo ni mchakato ( mtu huanza kufa rohoni) kabla ya manifestation mwilini. Kifo kikiwa katika ngazi ya rohoni unaweza deal nacho, na pia kikiwa kimefika katika mwili kabla nafai yake aijawa dominated na ulimwengu mwingine pia unaweza mrudisha, ila tu nafsi ikiensa katika ulimwengu mwingine imeisha hiyo
Haya mambo ambayo huwezi kuyathibitisha wala kuyachunguza ni bora yaunganishwe katika "mila potofu" na vizazi vyetu vinavokuja wasifundishwe kabisa...Hadi roho inatoka kwa mtu huwa sio siku hiyo hiyo. Kifo ni mchakato ( mtu huanza kufa rohoni) kabla ya manifestation mwilini. Kifo kikiwa katika ngazi ya rohoni unaweza deal nacho, na pia kikiwa kimefika katika mwili kabla nafai yake aijawa dominated na ulimwengu mwingine pia unaweza mrudisha, ila tu nafsi ikiensa katika ulimwengu mwingine imeisha hiyo
Ulishawai kuyafanya haya?Swari nzuri,. Maiti ya kweli ukivuta nywele zake zinanyofoka kirahisi Yaani bends mpaka kwene kichwa cha marehemu then vuta nywele zake zitang'oka kirahisi kama unavyonyonyoa kiki, kinyume na hapo sio maiti ya kweli, Asante.
Kama wapo jf watalijibu hili but sidhani huo mda wa kuchati wanao wao wapo bize na huduma.Kwani Gwaji a na Mwamposa wanasemaje? Maana wao huwa wanafungua wafu!
Kutokuamini hakumaanishi haupoHakuna kifo cha ushirikina mkuu...ni basi tu jamii zetu zina baadhi ya mambo zinakumbatia hayana maana...mi binafsi siamini kama uchawi upo.
Hadi uwe na elimu ya mambo ya kiroho.Utajuaje sasa; kuwa huyu ni wa ushirikina na huyu ni kifo cha kawaida?
Ushirikina una kanuni yake na upo wa maelfu ya aina.Karibu Afrika:
View attachment 2356855
Ngoma Iko hapo. Tunasumbuliwa na ujinga tu tokea juu hadi chini.
Kumbuka ushirikina haufanyi kazi benki au polisi.
Kuna vipimo hadi ufundishweUtajuaje sasa, si kifo cha kawaida?
Tena vinauzwa bei chafu hadi milioni 50 kitabu kimojaWe Jamaa ni mongo sana, wazungu Wana mavitabu kibao yanayozungumzia uchawi , Sasa we kutoka idugumbi unajidai mjuaji kausha mzee, wazungu Wana tatuu kibao za kujikinga na uchawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kwakoUkishagundua hivyo, unachuka hatua gani?