Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?

Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?

Utajuaje kwenye ulimwengu wa roho kua kifo chako kinakunyemelea
Swali zuri kabisa. Ili kujua kwa urahisi inategemea na state ya mtu kiroho kuweza kupapambanua hali yake katika ulimwengu wa roho. Ila kwa ambao state zao sio nzuri, angalia maneno na kuangukiwa na huzuni kwa nyakati flani na kupotea, hiyo hali inakuwa inajitokeza mala kwa mala unapokuwa na wapendwa wako.. Maana nafsi yako inakuwa inaonesha kwa emotions masikitito ya kuwaacha wadau, sema ndio inakuwa hali isyo elezeka
 
Hakuna kifo cha ushirikina mkuu...ni basi tu jamii zetu zina baadhi ya mambo zinakumbatia hayana maana...mi binafsi siamini kama uchawi upo.
Kama biblia/ Quran itambua uchawi upo na imetaja je wewe ni nani usiamini?

Omba yasikukute mkuu
 
Sasa anayechukua huo mwili nani mpaka utengane na roho inayobaki inahangaika hapa duniani?
maana ya kufa ni kwamba mwili haufanyi kazi tena huzikwa au kuchomwa ila ambacho mnashindwa kukielewa ni kuwa mnachanganya kufa na kuchukuliwa msukule haswa hapa ndipo mleta uzi alipofeli
 
Watu wanauawa Kwa njama na hila alafu unasingiziwa Uchawi 😀😀
Kuwekewa simu au kuvamiwa usiku na kuuawa kisha unatangaziwa umeuawa kichawi.

Mpaka sasa Mimi naamini haiwezekan Mtu kuuawa kichawi.

Watu wote hufa Kwa aidha uzembe au natural death ambayo ni uzee
 
Back
Top Bottom