National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Ndio, mchakato ni ule ule hakuna kifo cha ghafla, vifo vyote huanzia rohoni na huchukua mda ku manifest mwiliniHivi wanaokufa kwa ajali papo hapo au kupigwa risasi za kichwa nao huwa wanapitia hayo
True hata kujinyonga ni act tu ya kuhitimisha but tayari nafsi yake huwa ilishachukuliwaNdio, mchakato ni ule ule hakuna kifo cha ghafla, vifo vyote huanzia rohoni na huchukua mda ku manifest mwilini
Utajuaje kwenye ulimwengu wa roho kua kifo chako kinakunyemeleaNdio, mchakato ni ule ule hakuna kifo cha ghafla, vifo vyote huanzia rohoni na huchukua mda ku manifest mwilini
Swali zuri kabisa. Ili kujua kwa urahisi inategemea na state ya mtu kiroho kuweza kupapambanua hali yake katika ulimwengu wa roho. Ila kwa ambao state zao sio nzuri, angalia maneno na kuangukiwa na huzuni kwa nyakati flani na kupotea, hiyo hali inakuwa inajitokeza mala kwa mala unapokuwa na wapendwa wako.. Maana nafsi yako inakuwa inaonesha kwa emotions masikitito ya kuwaacha wadau, sema ndio inakuwa hali isyo elezekaUtajuaje kwenye ulimwengu wa roho kua kifo chako kinakunyemelea
Kuzijua dalili ni hadi uamue kutafuta elimu kuhusu haya mamboUtajuaje kwenye ulimwengu wa roho kua kifo chako kinakunyemelea
Kama biblia/ Quran itambua uchawi upo na imetaja je wewe ni nani usiamini?Hakuna kifo cha ushirikina mkuu...ni basi tu jamii zetu zina baadhi ya mambo zinakumbatia hayana maana...mi binafsi siamini kama uchawi upo.
maana ya kufa ni kwamba mwili haufanyi kazi tena huzikwa au kuchomwa ila ambacho mnashindwa kukielewa ni kuwa mnachanganya kufa na kuchukuliwa msukule haswa hapa ndipo mleta uzi alipofeliSasa anayechukua huo mwili nani mpaka utengane na roho inayobaki inahangaika hapa duniani?
Na ni ushirikina piaKukimbilia kumuita mtu "mjinga" kisa tu yupo tofauti na wewe kimtazamo ni uchanga wa ushiriki mijadala.
Hizo nchi ulizozitaja umewahi kuishi?
Ushirikina ni nini?
kabisa.Vifo vyote ni kwa mapenzi ya Mungu...
Kaa na wazee watakwambia. Mm natoka sehemu yenye wachawi wengiUlishawai kuyafanya haya?