Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

Wapo wengi wameoa bikira bado wanapigwa matukio mazuri tu. Kwani bikira sio binadamu? Shida inayokujia wewe utaoa bikira sio tabia. Ndio maana nimekuambia ukifika 35+ ndio utatafakari Pumba ulizoziandika leo.
Ni nafuu uizibue mwenyew tu aka ukipigiwa wenzio wanakua wanafanya maridio tu
 
Umesahau upande wa men , vizuri kubalance mada huyo unaemtaka awe bikra wewe mwanaume ni bikra?

Saa ingine tusitake upendeleo kwenye vizuri, bali pata stahiki yako
Men na womeni ni vitu viwili tofauti
Men. Women
Anaoa. Anaolewa
Anatoa mahari. Anatolewa mahari
Anampa mimba. Anapewa mimba
Yupo tu mtaani. Anawekwa mwari
Anaamua aoe. Akipata bahati anaolewa
 
Kama ni hivyo hakuna atakayepona...
 
Ila mm nawaza kweli mwanamke asipokuwa bikra ani kahaba ila bado nakataa sababu wanaume sisi tunapenda sana kugonga sasa tunalalamika nini

Anyway kama kuna mdada bikra njo nikuoe 🤣🤣🤣
Sa si makahaba wapo kwaajiri ya kugongwa na wakuolewa wapo. Akili kichwani mwako
 
Ni nafuu uizibue mwenyew tu aka ukipigiwa wenzio wanakua wanafanya maridio tu
Unahisi ndio hawezi kugongwa tena?. Labda uache kazi uwe unazurula nae kila kona. Hata hivyo hivyo akiamua kugongwa atagongwa tu. Ndio maana nasema nyie ni watoto bado hamjaiona dunia ya mapenzi. Wapo watu walipendana kama mapacha. Lakini ndani ya nyumba kuna kuhitirafiana. Huko kuhitirafiana inaweza kuwa tiket ya bikra wako kuona akagongwe na Juma anaemfuatia kila siku. Labda furaha ni kubikiri tu,lakini bikra tu sio tabia bora ya mtu na wala sio inayojenga ndoa imara,na wala sio inayofanya asichepuke.
 
Sawa mkuu wa wapumbavu umesikika nakwambia tena bado ww ni young sanaaa huna ulijualo
Kuwa mkubwa haina maana utakuwa smart kichwani.Ndio maana wewe ni kubwa jinga unayeamini mwanamke anaweza kupoteza ubikra kwa kuendesha baiskeli.
Acha USIMP
Acha UPUMBAVU
Man up!
 
Wewe huyo bikira wako endelea kumuangalia tu. Ukimbikiri tu umeshafungulia umalaya.
 
For every shameless non virgin hold a simp responsible
Lengo lako nisielewe?

Uzi umetumia lugha isiyoendana na lugha uliyoamua kuitumia, unadhani uzi ungelkua kwa lugha sawa na hii uliyotumia ningejisumbua kuandika chochote?
Huu utumwa sijui mpaka lini, tuendelee kudumisha madhaifu ya wazee au tuje kivingine ili kuboresha utanzania wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…