Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

Kwani kahaba ni nani? Kahaba ni mwanamke anayetumia viungo vyake kwa ajili ya kujipatia kipato, hoja sio bikira, ilimradi anatumia mwili wake kujipatia kipato huyo ndio kahaba.

Malaya ni Nani? Malaya ni mwanamke au mwanaume asiyetosheka na mpenzi mmoja, yaani mwanamke atakuwa na Juma, wakat huo huo anatembea na John, mwanaume yuko na Mwantumu wakati huo huo anatembea na Salome

Kwa kiswahili chepesi, Malaya anafananishwa na mlafi, mwanaume anataka kila shimo aingie yeye, na mwanamke anataka kila tango ale yeye
Simple and clear
 
Ukimkuta sio bikra hilo ni jibu tosha kuwa mwanamke uliye naye hajatulia ni malaya

Hili halihitaji mjadala wala kuandika uzi mrefu

Ukweli ni kwamba miaka hii binti akishabikiriwa ujue ndiyo ameanza safari ya umalaya iwe direct au indirect

Learn or perish

Natumaini kama una mke utakuwa hujambikiri. Maana ukifanya hivyo jua kabisa chap atakuwa malaya!
 
Nimeshangaa comments za baadhi ya wanaume humu wanaowatetea wanawake wasio bikra a.k.a malaya

Labda niwaulize kwa nini mkiwa kwenye mahusiano na wanawake wasio bikra mnahangaika kujua historia ya their past relationships?

Kwa nini mnataka wawe waaminifu kwenye mahusino yenu?

Kama mwanamke kuwa bikra doesn't guarantee that she'll make a good wife, sasa kwa nini mnahangaika kujua historia ya mahusiano yaliyopita ya wanawake wenu?

Kwa nini wapenzi wenu wasio bikra wakiwacheat mnaumia?

If a woman being a virgin doesn't guarantee that she'll make a good wife, then a woman's body counts shouldn't matter

ndege JOHN
Mdakuzi
ngoja ngoja
Magezi bugaga
Barbiedoll
Village-in
ERoni
Glenn
Daudi1
Jaji Mfawidhi
harfizally
Arch Barrel
LIKUD
Dunia ina mambo ya ajabu sana mkuu

Kunapokuwa na visa vichache vya bikira kumsaliti mpenzi wake SIMPS wanafurahia wananza kusema si umeona tulisema hata bikra sio wa kumwamini

Cha ajabu wakiona chuchu za bikra viboro vinawasimama above 90 degrees
 
Ila ki ukweli kabisa mwanamke ambaye sio bikira hata mahari tunajipendekeza tu kutoa .Huyo ni wa kupewa bure.
Mungu kuweka bikira sio kichaa ana maana kubwa sana.Sema sisi tunachukulia poa ila watu wa dhamani walkua wanalipa uzito sana hili swala .
Unakuta mwanamke keshatoa mimba hata saba ama keshatembea na wanaume 60 ww hata akizaa watoto wako wanakua na nuksi +mikosi na mwanamke nae unakuta keshajaa mamikosi kibao.

Usiogope...

Ndio maana kuna kuwa na mafundisho ya ndoa.

Na mwisho ni ibada yenyewe ya ndoa.. Na kufanya ndoa yenu kuwa takatifu. Kikubwa ni kujitambua tu... Maisha yana anzia pale ulipojitambua.. Hauwezi kurudi nyuma kurekebisha historia... Ila una uwezo wa kutengeneza historia mpya kwa maisha yaliyobaki.

Ibada ile ina vunja kila maagano ya awali na kutengeneza agano jipya. Toba ya kweli ihusike hapo.
 
Pole sana kwa kutokujithamini na kuacha kila mmoja akuonje, namuonea huruma huyo aliekuoa ukiwa tayari "used"
😂😂😂

If it makes you feel better about your miserable self!

Anyways sorry mr.man i don’t know you… nilikuwa tu naclap back, this is a game to me.
 
Nimeshangaa comments za baadhi ya wanaume humu wanaowatetea wanawake wasio bikra a.k.a malaya

Labda niwaulize kwa nini mkiwa kwenye mahusiano na wanawake wasio bikra mnahangaika kujua historia ya their past relationships?

Kwa nini mnataka wawe waaminifu kwenye mahusino yenu?

Kama mwanamke kuwa bikra doesn't guarantee that she'll make a good wife, sasa kwa nini mnahangaika kujua historia ya mahusiano yaliyopita ya wanawake wenu?

Kwa nini wapenzi wenu wasio bikra wakiwacheat mnaumia?

If a woman being a virgin doesn't guarantee that she'll make a good wife, then a woman's body counts shouldn't matter

ndege JOHN
Mdakuzi
ngoja ngoja
Magezi bugaga
Barbiedoll
Village-in
ERoni
Glenn
Daudi1
Jaji Mfawidhi
harfizally
Arch Barrel
LIKUD
Nani alikwambia.nina mahusiano na wanawake hovyo nilikuuliza swali hukujibu mpaka sasa.

Nipo kutengeneza hoja na sio kutetea jinsia hapa.
 
Ukimkuta sio bikra hilo ni jibu tosha kuwa mwanamke uliye naye hajatulia ni malaya

Hili halihitaji mjadala wala kuandika uzi mrefu

Ukweli ni kwamba miaka hii binti akishabikiriwa ujue ndiyo ameanza safari ya umalaya iwe direct au indirect

Learn or perish

Si kweli una hoja mfu na yakitoto
 
Back
Top Bottom