The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,019
- 2,670
Kuna demu nilimuelewa sanaa tena sanaa ila nilivyokuja kugundua sio bikra nilimchana live kwamba sitomuoa kwakua sio bikra aliumia sana mpaka akalia kiufupi nilimuonea huruma ila sikuwa na namnaHakika mkuu inawa-pain ila wanavumilia halafu wanakuja kuwatetea malaya, inasikitisha sana