Kwani kahaba ni nani? Kahaba ni mwanamke anayetumia viungo vyake kwa ajili ya kujipatia kipato, hoja sio bikira, ilimradi anatumia mwili wake kujipatia kipato huyo ndio kahaba.
Malaya ni Nani? Malaya ni mwanamke au mwanaume asiyetosheka na mpenzi mmoja, yaani mwanamke atakuwa na Juma, wakat huo huo anatembea na John, mwanaume yuko na Mwantumu wakati huo huo anatembea na Salome
Kwa kiswahili chepesi, Malaya anafananishwa na mlafi, mwanaume anataka kila shimo aingie yeye, na mwanamke anataka kila tango ale yeye