Bauntu asukile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2020
- 324
- 442
Kwa ninavyowajua watanzania watakupinga kwa kila hatua ili mawazo yao yatimie,,kikubwa nikupongeze kufikiria hata hayo uliyoyawaza .......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni muhuni haswa na nina akili kubwa you could never comprehend. Hata zichanganywe akili zote za ukoo wenu hamuwezi kunifikia. Uknifukunuyua nitakufukunyua zaidi.Mwanzo nimekufuatia nikajua ni akili kubwa ndiyo inayotoa mawazo haya. Lakini baada ya kujibishana kihuni na huyo jamaa, nimegundua wewe ni wale wa kushawishi Fursa za matikiti kwenye Vitabu. Hujui hata hiyo Ardhi ya mazao inapatikana wapi. Ficha aibu yako usidanganye watu
Umesema kilicho sahihi kabisa.Ardhi inahitaji maarifa ambao ni ugonjwa wa watanzania ardhi haitaji mtaji ardhi inajitosheleza inahitaji nguvu zako tu.
Ahsante sana.Kwa ninavyowajua watanzania watakupinga kwa kila hatua ili mawazo yao yatimie,,kikubwa nikupongeze kufikiria hata hayo uliyoyawaza .......
Sasa si uongee hizo idea mkuuSi hakima bali ni hekima.
Mwenye masikio na asikie.
Siwezi kubishana na mtu asiye na idea yeyote kuhusu history, economics, sociology na anthropology.
Ciao[emoji111]
Ndio. Si lazima mtu akae darasani apewe lecture ya haya masomo. Hata observation ya maisha ya kila siku na kupenda kujifunza mwenyewe inatosha kuyafahamu haya masomo. Haya ni majina tu lakini maarifa yaliyomo ndani yake ndio yanamsaidia mtu ku survive.
😂😂😂😂Unaongea tu kama umewekewa plug mdomoni eem shika jembe njoo upewe heka 3 apa Ulime aafu utuletee mrejesho kama ni kazi ndogo
Wala sina hasira ninamjibu mtu anavyonisemesha.Sasa si uongee hizo idea mkuu
Naona unakua mkali kidogo
Huijui hii jamii ?
Don't be angry with them waache
Unaelewa maana yangu?Kuna msemo wasema
"Usiache kujifunza maana maisha hayaachi kukufundisha"...
Japo sikupingi kwa mtazamo wako maana ndio mipaka uliyojiwekea na ukomo wa experience yako katika maisha.
Labda kesho au miaka ijayo utapata kufahamu mengi zaidi au kutambua kuwa kuna watu hawahitaji maarifa yote unaoyaona bora ku_survive au wao kuwa "Bora" katika ulimwengu huu
Wewe mbona unafatilia ya watu?Kila mtu na maisha yake,
Toka kwenye njia za wapita kwa miguu.Wewe mbona unafatilia ya watu?
Kama Kikojoleo chako kiliileta hii barabara utasomeka.Toka kwenye njia za wapita kwa miguu
Nimekusoma ingawa binti umepinda. Life is game of chance ukiwa una unaumiza kichwa bila kuchoka. Kilimo cha mtu mmoja bila kitumia wengine (kuajiri) hakiwezi kumtoa mtu. Mkulima ni mtu wa kuhurumiwa tu. Mfano tukiwa vijana kama wewe Tulihamasishwa kuwa tupande miti ili itufae uzeeni. Naam tukahamsika na sasa hiyo miti ina 30 years na sasa ndipo imekomaa kutoa mbao. Mti mmoja unatoa mbao za 2x4 20. Ila kila ubao huko kijijini unauzwa 2,500 bei ya jumla0. Gharama zake ni wale wanaopasua mbao wanalipwa 1,000 kwa ubao na 500 ni gharama ya wabebaji. Hivyo kila mti unapata 20,000 tu. Hicho ndicho kilimo. Ila wale wanaosafirisha hizo mbao hadi mijini wakinunua kwetu wanapata 9,000 kwa ubao mmoja.Wala sina hasira ninamjibu mtu anavyonisemesha.
Shida inaanza kwenye kutaka kupewa idea. Mtu anataka aelezwe chakufanya tena kwa kubembelezwa na kama ataona ni ngumu anataka kufanyiwa.
Mimi sipo hapa kumueleza mtu cha kufanya kwasababu kila mtu ni individual anatofauti na mwingine. Sipo hapa kutoa mchongo. Utapewa michongo kila siku? Mimi siyo muongoza semina za ujasiriamali ambaye anaetrendisha shughuli ili apate pesa.
Mimi sitafuti ubunge kwamba niongee maneno mazuri ya kufurahisha tu.
Hata kuwaambia wachakate ubongo watafute cha kufanya ni idea nzuri kuliko zote ninayoweza kuwapa.
Natumai wapo watakao fanyia kazi ujumbe wangu.
Ni mchungu kweli. Kuna watu leo hawatalala.Uzi huu ni ukweli mchungu
Ni kikojoleo cha mama yako ndo kimejenga barabara za waenda kwa miguu.Kama Kikojoleo chako kiliileta hii barabara utasomeka.
Kuliko ukae barabarani siku nzima, ni bora hata uishinikize serikali iboreshe mazingira ya wakulima.Nimekusoma ingawa binti umepinda. Life is game of chance ukiwa una unaumiza kichwa bila kuchoka. Kilimo cha mtu mmoja bila kitumia wengine (kuajiri) hakiwezi kumtoa mtu. Mkulima ni mtu wa kuhurumiwa tu. Mfano tukiwa vijana kama wewe Tulihamasishwa kuwa tupande miti ili itufae uzeeni. Naam tukahamsika na sasa hiyo miti ina 30 years na sasa ndipo imekomaa kutoa mbao. Mti mmoja unatoa mbao za 2x4 20. Ila kila ubao huko kijijini unauzwa 2,500 bei ya jumla0. Gharama zake ni wale wanaopasua mbao wanalipwa 1,000 kwa ubao na 500 ni gharama ya wabebaji. Hivyo kila mti unapata 20,000 tu. Hicho ndicho kilimo. Ila wale wanaosafirisha hizo mbao hadi mijini wakinunua kwetu wanapata 9,000 kwa ubao mmoja.
Kwa upande wangu naamini a middle man or woman ananufaika na ardhi kuliko mkulima. Ndiyo maana wengi wanajimwaga mijini ili pengine wanaweza kuwa mabilionaire wa kesho