Na hili ni janga kubwa sana nimelichunguza sana wengi tupo hivyo.Ni sawa kabisa ulichosema.
Peer pressure ni janga lingine. Mtu hawezi kujiona yeye kama yeye aangalie future yake anaogopa wenzake watamuonaje utafikiri atazeeka nao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hili ni janga kubwa sana nimelichunguza sana wengi tupo hivyo.Ni sawa kabisa ulichosema.
Peer pressure ni janga lingine. Mtu hawezi kujiona yeye kama yeye aangalie future yake anaogopa wenzake watamuonaje utafikiri atazeeka nao.
Muulize Mzee Mangula aliporejeshwa kijijini na JK alienda kulima viazi. Katika msimu huo serikali ikakataza lumbesa au kilemba. Mzee akawa mtiifu kwa serikali. Madalali wakamkomalia kuwa kama magunia yake hayana kilemba hawayanunui. Unajua kilichotokea, viazi vilioza ukawa ndiyo mwisho wa hiyo project yako. By the way nchi kuonekana kama imeendelea au la, kipimo kimojawapo ni kuangalia idadi ya watu wanaotegemea kilimo. Wakiwa wachache ndiyo maendeleo bwasheeKuliko ukae barabarani siku nzima, ni bora hata uishinikize serikali iboreshe mazingira ya wakulima.
Ni bora mjikusanye mwafanyie protest hao middlemen.
Ni bora upambane ufanye shughuli rasmi kuliko ukae sehemu ambayo haiwezi kukupeleka popote.
Sawa endeleeni kukaa kwenye njia za waenda kwa miguu.Mkuu unakijua kilimo unakisikia? Ni mtu mwenye pesa Tu anayeweza kufanya kilimo kikamlipa , vinginevyo ni aheli kuuza maji town .... Faida ya kuishi shamba ni moja Tu , Afya imara
Si kweli. Kipimo cha nchi kuendelea ni watu wote kuwa na maisha bora.Muulize Mzee Mangula aliporejeshwa kijijini na JK alienda kulima viazi. Katika msimu huo serikali ikakataza lumbesa au kilemba. Mzee akawa mtiifu kwa serikali. Madalali wakamkomalia kuwa kama magunia yake hayana kilemba hawayanunui. Unajua kilichotokea, viazi vilioza ukawa ndiyo mwisho wa hiyo project yako. By the way nchi kuonekana kama imeendelea au la, kipimo kimojawapo ni kuangalia idadi ya watu wanaotegemea kilimo. Wakiwa wachache ndiyo maendeleo bwashee
Kwa kilimo hiki cha jembe la mkono? Tunaposema kulima ni kulima kwa kutumia nyenzo za kitaalam si jembe la mkono (hata likiwa ni jembe la mkono basi uwe mwajiri) zaidi ya hapo ni umaskini mtupuUko sahihi mkuu in Tanzania, we have LARGE arable land but only 33% of it is put into efffective use! Siku tutakapoamka na kutumia the rest 67% Maisha yata improve both at individual and national level,,,,,,
yakununua kote huko kunaile ya kupewa na serikali very cheap unatoa tu hela kidogo tuNimekuelewa sana mleta maada binafsi nakuunga mkono ,vijana tukipata pesa mjini tutoke tukanunue ardhi mapolin huko kwa bei ndogo ,itatufaa baadaye .
Katika shughuri zangu nilifanikiwa kumtembelea mzee mmoja kijijini ndani ndani huko aiseee kuna watu waliona mbali narudia kuna watu waliona mbali .mze ana ekari sio chini ya mia kapanda mikorosho yake ,kajenga nyumba yake ya adabu huko polini anaishi huko kafuga kuku ,mbwa ,ng'ombe mbuzi n.k analima bustani na vikorokoro vyote unavyojua ww
Nje yuko na landcruiser mkonga imepanda hewani ya kwendea mjini .
Eneo alinunua mwaka 1995 akiwa kijana na alianza kuliendeleza miaka ya 2000 .
Nilichojifunza : vijana tununue ardhi kuna kesho na keshokutwa itatufaa .
Ahsanteni
Mzazi kaingiaje hapo!Ni kikojoleo cha mama yako ndo kimejenga barabara za waenda kwa miguu.
Toka njiani.
Jobless kapewa smartphone leo baas ni shida.Hivi huko insta Kuna Nini kinatrend wakuu ...
Kibakuli kafanyaje ...
Harmonize na Kajala wake vipi...
Mtoa mada Unaropoka kimmbwaaah
Njoo huku Tulime mahindi...
Ziwa Rukwa Vibali vya uvuvi vimeanza kutoka ...
Toka hapo kwa shemeji yako Njoo huku kima wewe ...
Lack of exposure ni tatizo kubwa kwa Watanzania. Niliangalia documentary ya Mghana alikwenda kutafuta maisha Ulaya, alizamia meli akaishia Italy. Alipata kazi kwenye mashamba ya nyanya.
Alibeba idea ile ya kilimo, alipotoboa alikwenda Ujerumani, alinunua matrekta na lorry. Amerudi Ghana sasa hivi anafanya commercial farming ya nyanya.
Umeona, alianza kutafta mtaji huko mjini wa kununua nyenzo za kilimo alipoupata akarudi shambani.
Masanja alikuja mjini akaanza uza mitumba na kuchekesha akapata mtaji akawekeza kwenye kilimo shambani.
Shida ni kwamba siyo kila anayekuja mjini kutafuta mtaji anafanikiwa.
Kuna uziUmeona sasa!! .. alinunua matrekta na lorry.
Hiki ndio tunachotakiwa kukizungumzia, kilimo ni biashara km zilivyo biashara nyinginezo linahitaji mtaji na sio bla bla km anazoleta mleta mada
Binafsi nawachukia Sana watu wanaochukua kilimo kama kitu chepesi Sana.
Unaelewa maana yangu?
Unaelewa maana ya maarifa?
Mtu mwenye uzoefu kakalisha makalio yake kwenye njia za waenda kwa miguu?